Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Hawana tofauti

Tofauti ni kubwa sana.
Hata kwenye maisha interaction zidi ya mchaga vs interaction zidi ya Mpare ni vitu viwilo tofauti.
Mfano ishi jirani na Mpare au kwenye mazingira kazini deal na Mpare zidi ya Mchaga utaiona tofauti kubwa sana .
 
Code gani hapo ? Huyo mtu hajui tu kusoma na kuandika muwe mnatumia akili
 
Hapana.
Ni watu wawili tofauti sana.
Characters zao na hulka zao ni tofauti kubwa mno.
Kutoka mkoa mmoja haimanishi wako closely related.
La hasha.
Kuna makabila mengi tu wako mmoja lakini ni Watu tofauti sana.
Nayasema haya kama mpare ambae niliamua kabisa kuukana na kuukimbia ukoo,,najua mambo ya huko kaskazini................
 
Upupu unaandika harafu unajifanya kuomba radhi,mbona huongelei tukio la mtoto kukutwa kauawa Kwa nyumba ya hizo list?
 
Mtabaki kua mafukara tu,, kila kitu ni uchawi. Akili za kimaskini. Hata mama ako anaweza kua mchawi japo anaenda kanisani kila siku.

Ni kweli hawa wachawi wanazaa.
Ndio maana huwa nashangaa wale ambao akiambiwaml
Mama yako au bibi yako Mchawi Eti wanakataa na kuwaka.
Hata wachawi wanazaa na kujukuu vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…