Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Tukio lilianzia baada ya:

Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya Sokone One kukutwa ameuawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha.

Baada ya taharuki hii wananchi waliamua kuvunja nyumba, kuchukua na kutoa vitu vyote ndani ya nyumba

katika vitu vilivokutwa ni risiti zaidi ya 50 zikionesha malipo ya ada za vifo vya watu, risiti hizo zipo zinazoonesha vifo vinatakiwa 9 kwa risiti moja.

katika risiti hizo P.O.box inasoma
U.U.K.K. USANGI
P.O.Box 209 ARUSHA

Wananchi wanadai hiyo miaka sio hii tunayohesabu, pengine wanamiaka yao kwakua hizo risiti na za hivi miaka ya karibuni.

Mtuhumiwa alikua anaishi na mkewe.
Na aliyegundua kuwepo kwa mtoto huyo ni baada ya mtoto wao wakike aliyeolewa kuja kuwasalimia akiwa na mjukuu, mjukuu huyo aliingia ndani kutafta kiatu na kukuta mkono chini ya uvungu ndipo alipomuita mama yake na wakaanza kupiga kelele na watu kujaaa
View attachment 3123295

View attachment 3123250
U.U.K.K. yaani watu wanaua na kupewa risiti. Ushirikina ipigwe marufuku rasmi Tz!
 
Mshana Jr
Naona upareni mmefikiwa,,,,,au na wewe ulikuaga mwanachama wa hizi mambo
 
Unapajua Makandeni wewe kule zamani naskia ukikanyaga vile vifuu vya nazi kinakusemesha 🤣😂
Mie ni mwana ukoo wa pande za huko,,,imebidi kuukana ukoo na kabila lenyewe kabisa,,,,,asee pande zile wale jamaa sio binadamu,,,,wanatoa kafara kama kamchezo flani tu kadogo na mtu hata hawazi mara mbilimbili,,,,,kikubwa rada zikishasoma tu mtu fulani anatakiwa kuondoka kwa mustakabali wa neema za familia unaondolewa fasta, kwenye msiba watajifanya kulialia hapa na pale ila ukishapita msiba mambo yanaendelea kama kawaida inasubiriwa awamu ya mtu mwingine tena
 
Kinachoudhi zaidi inafikia hatua wananchi waamua kuchukua hatua wenyewe.

Hapo utakuta wameripoti polisi mpaka wamechoka, wakaona isiwe shida bora waingie wenyewe kazini.

Hii inaweza kuwa record mtu mmoja kuweza kuuwa zaidi ya watu hamsini tena anaishi maeneo ambayo yana high density.

Ngoja sasa uwasikie hao polisi wanavyojitapa na hawa usalama uchwara wa JF. Yaani mtu anauwa 50 plus people uhalifu unaishia ibuliwa na raia, kule Singida nako maiti 13 hapo nyumbani kwa mganga.

Ukienda maeneo ya madini, waganga makaburi yao yanaweza kuwa wamezika watu zaidi ya mia.

Polisi wa hovyo duniani sijapata ona. Sasa hivi unadhani Muliro ndio IGP. Wengine kimya huyu Wambura ndio IGP aliepwaya kweli. Awamu ya tano polisi walikuwa active and responsive; siku hizi wala habari hawana.

Mitano tena
 
Back
Top Bottom