Arusha: Waandishi wanaoripoti habari za Mahakamani za Sabaya Wanatishiwa Maisha. APC Walaani

Arusha: Waandishi wanaoripoti habari za Mahakamani za Sabaya Wanatishiwa Maisha. APC Walaani

Sabaya ni mpumbavu sana. Kama alisoma basi hajaelimika. Wapo watu wanamtetea ati anaonewa. Wanasema alitenda alitenda aliyotenda kulinda chama.

Kama kuna taasisi ambayo ni ya hatari humu nchini ni UVCCM hawa wengi hawajui tofauti kati ya chama na nchi? Wala taifa .
Wapumbavu hawa.
 
Hili genge la kihuni tutawanyoosha
Serikali itoke ikemeee kamati ya ulinz na usalama
Semeni neno
Hatutaki taharuki tena
 
Pumbavu,
Kwani kumtisha mwandishi wa habari ni hadi uwe unafanya kazi serikalini?
Muhuni mwingine huyu hapa tutakusaka hadi mvunguni pumbavu kabsaa wewe
 
Kuna angle mnaisahau kuiweka kwenye mijadala yenu. Msisahau kuwa Sabaya alilindwa na dola katika kufanikisha uharamia wake. Wapo marpc, RSO,dso, na wakuu wa polisi wa wilaya ambao walimsaidia. Hawa wote Wana hofu ya kutajwa na au kuhojiwa kwa kunyamaza na au kuusimamia uharamia wake! Ni wahusika wasaidizi!
Na kwa maana hiyo wanaopigana nje ya ngome na kuhakikisha waandishi wa habari na hata waendesha mashitaka kutokuwagusa au kuwahoji! Na Hawa ndio wasiojulikana!
 
Mwandishi wa barua anaomba teuzi, kaona kasahaulika. Siamini kitu kama hicho zaidi ya mkakati wao tu kuenfluence maamuzi ya mahakama.
Eti mtu kaenda nyumbani kwa mtu mara Tano!! Kwanza ili iweje? Acheni majungu.
Wale wote watakaoshiriki michezo hiyo haramu karma haitawaacha.
Umewaza Kama Mimi mkuu sioni ukweli kwenye hii issue zaidi ya kutaka kuaminisha watu ujinga
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Sabaya ni mpumbavu sana. Kama alisoma basi hajaelimika. Wapo watu wanamtetea ati anaonewa. Wanasema alitenda alitenda aliyotenda kulinda chama.
Kama kuna taasisi ambayo ni ya hatari humu nchini ni UVCCM hawa wengi hawajui tofauti kati ya chama na nchi? Wala taifa .
Wapumbavu hawa
tuna vijana wa hovyo sana huku uvccm
 
kwani hawana habari zingine za kuandika na kutangaza ni Sabaya Sabaya...

kwani gerezani yuko peke yake ?

waache ujinga
Michepuko ya Sabaya hamkubali kabisa kushindwa. Mnampigania bwana wenu bila haya...

Mtaelewa tu, ni swala la muda ..
 
Mwandishi wa barua anaomba teuzi, kaona kasahaulika. Siamini kitu kama hicho zaidi ya mkakati wao tu kuenfluence maamuzi ya mahakama.
Eti mtu kaenda nyumbani kwa mtu mara Tano!! Kwanza ili iweje? Acheni majungu.
Wale wote watakaoshiriki michezo hiyo haramu karma haitawaacha.
Wewe ni mchepuko wa Sabaya?
 
Sijui inakuaje Usalama Wataifa wakaruhusu watu wa ajabu kama huyu kuwa DC...Idara Yetu ya Usalama inabeba lawama hapa mana mtu kama Sabaya hakufaa hata kuwa mkiti wa Kijiji..Hakua na maadili wala Utu na sio yeye tu Wapo watu wengi walifanya mambo ya kijinga sana ..

Mambo ya ajabu...Yaani na bado wako serikalini Mama samia kazi unayo haya majitu ni mengi na yana mtandao.
 
Ni Kichwa cha Habari ambacho nimekiona katika Gazeti la MWANANCHI la leo Jumatano tarehe 23 June, 2021.

Mwenye Taarifa Kamili za ama Mtu au Mamlaka husika iliyofanya huu Upopoma ( Upumbavu ) anitajie ( atutajie ) tafadhali ili tuwajue.

Na kwanini Ole Sabaya 'analindwa' hivi?
 
GENTAMYCINE Sabaya hakuwahi kupelekwa kwa yule mganga wa Kilwa? Yasingefika huku yaliko.
Alichelewa kupelekwa japo nimedokezwa Juhudi zinafanyika sasa huyo Mganga amsaidie.

Na ndiyo Mganga huyo huyo aliyemsaidia Fisadi Nyangumi wa Bandari mwenye Jina la Kitoweo cha Baharini hadi Kesi yake ikayeyuka Kimiujiza na sasa yuko Huru.

Kilichofanyika alipokuwa Rumande aliombwa Nguo zake kisha zikapelekwa upesi kwa huyo Mganga ambapo alizifanyia Ndumba kisha akaenda Kuzitupa katikati ya Bahari ya Hindi.

Kesho yake akatumwa Ndugu yake na Mtuhumiwa na Mganga Msaidizi kwenda eneo zilipotupwa zile Nguo ambapo kuna Nguo ( Shati na Suruali ) zilikutwa zimeelea juu ndipo zikachukuliwa na Kuamriwa kuwa Siku zote za Kusikilizwa Kesi yake na ya Hukumu awe anazivaa tu hizo Nguo na kweli alikuwa anazivaa hizo hizo tu hadi Kesi yake ilipoyeyuka na Kumalizika Kimaajabu.

Na ndiyo Mganga huyu huyu hivi sasa anatumiwa na Kiongozi Mmoja wa Mkoa wa Dar es Salaam na Dada Mmoja ( Mgeni ) wa temeke a.k.a Miss Ushoroba ili Pesa alizopiga na Ole Sabaya zisije Kumletea matatizo.

Pia Mganga huyo huyo anatumiwa na Mawaziri wenu Wawili wa kutokea Ukanda huo huo.

Na ndiyo Mganga huyo huyo pamoja na Kiongozi Mmoja wa Dini Moja Kubwa nchini waliisaidia Klabu yangu ya Simba SC Kumfunga Kaizer Chiefs FC 'kwa Mkapa' na ndiyo huyo huyo ataenda Kuimaliza Yanga SC tarehe 3 July, 2021 ikicheza na Simba SC.

Naomba niishie hapa tafadhali Mkuu.
 
Back
Top Bottom