Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Wapo humu wanasema free sabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina yote tunayoHilo Genge lisakwe kwa Udi na Uvumba.
Muhuni mwingine huyu hapa tutakusaka hadi mvunguni pumbavu kabsaa wewePumbavu,
Kwani kumtisha mwandishi wa habari ni hadi uwe unafanya kazi serikalini?
Umewaza Kama Mimi mkuu sioni ukweli kwenye hii issue zaidi ya kutaka kuaminisha watu ujingaMwandishi wa barua anaomba teuzi, kaona kasahaulika. Siamini kitu kama hicho zaidi ya mkakati wao tu kuenfluence maamuzi ya mahakama.
Eti mtu kaenda nyumbani kwa mtu mara Tano!! Kwanza ili iweje? Acheni majungu.
Wale wote watakaoshiriki michezo hiyo haramu karma haitawaacha.
99%Inaonekana ndio Hawa ambao wapo kwenye mitandao kutwa kuweka post za kumtetea
tuna vijana wa hovyo sana huku uvccmSabaya ni mpumbavu sana. Kama alisoma basi hajaelimika. Wapo watu wanamtetea ati anaonewa. Wanasema alitenda alitenda aliyotenda kulinda chama.
Kama kuna taasisi ambayo ni ya hatari humu nchini ni UVCCM hawa wengi hawajui tofauti kati ya chama na nchi? Wala taifa .
Wapumbavu hawa
Michepuko ya Sabaya hamkubali kabisa kushindwa. Mnampigania bwana wenu bila haya...kwani hawana habari zingine za kuandika na kutangaza ni Sabaya Sabaya...
kwani gerezani yuko peke yake ?
waache ujinga
Wewe ni mchepuko wa Sabaya?Mwandishi wa barua anaomba teuzi, kaona kasahaulika. Siamini kitu kama hicho zaidi ya mkakati wao tu kuenfluence maamuzi ya mahakama.
Eti mtu kaenda nyumbani kwa mtu mara Tano!! Kwanza ili iweje? Acheni majungu.
Wale wote watakaoshiriki michezo hiyo haramu karma haitawaacha.
Alisema ataondoka na wengi.Tatizo alitishia kuwataja wale wote anaodai wako nyuma ya mpango wa yeye kufungwa pengine ndio wanataka kumkingia kifua ili kuficha aibu yao.
Hana lolote kibaka tu yule!!Tatizo alitishia kuwataja wale wote anaodai wako nyuma ya mpango wa yeye kufungwa pengine ndio wanataka kumkingia kifua ili kuficha aibu yao.
tuliza kinyeo wewe sio mahakamaMichepuko ya Sabaya hamkubali kabisa kushindwa. Mnampigania bwana wenu bila haya...
Mtaelewa tu, ni swala la muda ..
Alichelewa kupelekwa japo nimedokezwa Juhudi zinafanyika sasa huyo Mganga amsaidie.GENTAMYCINE Sabaya hakuwahi kupelekwa kwa yule mganga wa Kilwa? Yasingefika huku yaliko.