Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu!! Inasikitisha sana aisee!! Mungu awape pumziko la milele Marehemu wote.Walikuwa wanaenda kweny mahafali ya ndugu yao wa kidato cha sita huko Kilimanjaro kwa kweli roho imeniuma sana.
Wanakuaga na ujuaji na ubishi wa kijinga wa kulazimisha mamboKuna watu akili zao sijui vipi?
We una familia nzima ndani ya gari unalidumbukiza kwenye maji kasi unaiona,
Si hata angewashusha au kusubiri mkondo wa maji upungue?
Sasa familia nzima ishakufa watu sita.
ndugu km kawaida wataanza kugombea Mali tu.
Mlikua mnawai wapi?
Si mngesubiri, au nenda wewe jemedari na gari yako
Utumbukie humo,
unabwaga familia nzima ndani ya maji.
Inasikitisha sana
Habari iko TBC Jioni hii
DuhAcha wafe ili wengine wajifunze
Ni Upuuzi sana tu majanga mengine yanaepukika kabisa ile mimaji ukiona iko kasi vile huwezi kupita kabisa pale tena ukiwa na watu wengine kwenye gari.Wanakuaga na ujuaji na ubishi wa kijinga wa kulazimisha mambo
Hya ni mambo ya Petro na Yesu...Ndio madhara ya kutumia smartphone kuangalia porn tu mana vitu ka hv kila siku vinaongelewa....
Afu mtu anaingiza gari kwnya maji
ukiangalia vizuri kilichotokea unaweza usimlaumu yule jamaa aka marehemu.
Ile gari Noah ilikuwa kwenye foleni ya magari mengine na yote yaliyokuwa mbele madogo tu kama lake yaliweza kupita ikiwepo RAV4, nafikiri hili lilimpa ujasiri wa cross kwa kupima na macho na kuona anaweza kupita.
Mamlaka kuanzia RTO, Tanroads, RPC nk wanahusika na hivi vifo kwa kutokuwa na road patrol hasa kwenye highways wakati tu inapoanza mvua kubwa, lengo ni kuchunguza hali ya barabara kitalaam na haraka kuweka vizuizi kuzuia matumizi ya barabara na hata kutoa tahadhari wakati wote.
Mwenyezi Mungu wamesamehe dhambi zao marehemu na kuwaondolea adhabu kabri ndugu zetu wale.
Mtoto wao anabaki peke yake, hata haya mahafali haji kuyasahau kwa uchunguPole sana kwa familia, wapumzike kwa amani
Magari yenye 4wheel Yana uhafadhali kwenye Mazingira kama Yale, uzito WA engine unasaidia kuvuta GariKilichompa Ujasiri dereva wa Noah ni kuona magari mengine madogo ya Aina yake yakipita bila shida,na yeye akaunga trela.ila kifo bana kinakuja kwa kushangaza sana
Noah ni nyepesiNimeona clip ya tukio aisee yalikuwa yanapita magari mengi ila NOA ikazidiwa nguvu ikabebwa. Ila ni hatari kuendesha gari kwenye maji yanayotembea
Kwa gari zenye 4WD zinakuwa na nguvu zaidi kuvuka kwenye mazingira kama hayo......ndo maana inawezekana Noah imefeli kwa kutokuwa na 4WD, anyway lesson learnt......R.I.P kwa waliofikwa na umauti.Kilichompa Ujasiri dereva wa Noah ni kuona magari mengine madogo ya Aina yake yakipita bila shida,na yeye akaunga trela.ila kifo bana kinakuja kwa kushangaza sana
Na si kesi ya mwanzo...mara kadhaa ishatokea ila watu hawajifunziKuna watu akili zao sijui vipi?
We una familia nzima ndani ya gari unalidumbukiza kwenye maji kasi unaiona,
Si hata angewashusha au kusubiri mkondo wa maji upungue?
Sasa familia nzima ishakufa watu sita.
ndugu km kawaida wataanza kugombea Mali tu.
Mlikua mnawai wapi?
Si mngesubiri, au nenda wewe jemedari na gari yako
Utumbukie humo,
unabwaga familia nzima ndani ya maji.
Inasikitisha sana
Habari iko TBC Jioni hii
Hapana mkuu,ajali kama hii ilishatokea huko nyuma handeni mbona hawa hawakujifunza na wao pia walikuwa na noah na walikuwa wanaenda kwenye mahafali pia.Acha wafe ili wengine wajifunze