TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

Preta ubarikiwe sana kwa kuweka taarifa hii humu, Lakini pia mniwie radhi kwa kutokuileta humu mapema. Ni Kweli Freetown alifariki tangu tarehe 08 June 2020. Alifia nje ya nchi. Mwili haukuweza kusafirishwa mapema kutokana na kukosekana flights kwa sababu ya Covid 19. kulikuwa hakuna flights kutoka huko kuja huku.

Mwili umepokelewa Jana Ijumaaa na Kusafirishwa kwenda kijijini jana hiyo hiyo na mazishi yamefanyika leo.
JINA LA BWANA LIBARIKIWE
RIP FREETOWN.
 
Ahsante Kwa taarifa poleni sana, hili ni pigo letu sote, kazi ya Muumba haina makosa
 
Aisee poleni sana mkuu, mwili ulikaa sana Mungu aifariji familia
 
Apumzike Kwa Amani
Kazi Ya Mungu Haina Makosa!!!
 
Whatsapp namba yako inaishia ngapi ?
 
Too sad
Bwana alitoa Bwana ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa wafiwa na Mungu ampunguzie adhabu za kaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…