Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naambiwa watu wako kibao, Nina ndugu yangu huko Arusha maeneo ya mbauda, anasema ni wengi mno asubuhi hii, kabla hawajaanza kuondoka kituo Cha kuanzia. Ukweli ni kuwa cdm imeshakuwa na watu, na hakuna uwezo wa kuwapunguza tena.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ya kweli hayo?
 
acha upotoshaji, πŸ’

hamna watu πŸ’
 

Watu pia waelimishwe kuwa hata hizo ajali za namna hiyo ni matokeo ya mifumo yetu mibovu ya kiuongozi.
 
Acha mbambamba weka picha kuunganisha dot kwamba, "Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika"
Relax mkuu,maandamano haya wewe hayakuhusu sasa unakerwa na nini?endelea kula mayai ya shemeji yako, ILA tambua huku Nyalamatata watoto wanalimia meno kwenye Tanzania yetu hii
 
Upumbavu huu,maadam wewe shemeji yako kakuunganisha na fursa sasa unategemea kila mmoja ana fursa hiyo, ufanye kazi kwa juhudi yes hizo kazi zipo wapi?,mazingira gani mtoto wa hapa Lwegu, Unango,Kamachumu kaandaliwa ili awe ku fly mwenyewe?,eti nipo Kasumbalesa border, acha story za vijiweni, wanaovuta semi trailer Dar to Kasumbalesa border ni mashujaa, wewe ukiwa ndani ya barabara za zambia ndio utaelewa madereva wa kitanzania wana roho za ukakamavu na ujasiri, kinachowakwamisha ni lugha tu ya malkia, kinyume cha hapo hii SADC ingetawaliwa na wabongo, kwa sasa wazimbabwe ndio top dog ,reason ni queen's language ILA sio ukakamavu au ujasiri
 
Bei ya Sukari haikuhusu?
Unaishi kwa Shemeji?
Sawa!.
But uandikage ukweli acha kuchaji akili za watu dogo!.
Eti "
Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika. "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…