Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Relax mkuu,maandamano haya wewe hayakuhusu sasa unakerwa na nini?endelea kula mayai ya shemeji yako, ILA tambua huku Nyalamatata watoto wanalimia meno kwenye Tanzania yetu hii
Sawa.
Ila ukitaka usipingane na uongo sema kile unachooana kinafaa kwako na ni ukweli.

Mkiandika uongo wapo watakao andika ukweli kutokana na uongo wenu.

Matusi hayatakuja kuleta nuru kwenye giza mliomo nyie madogo mpo gizani alafu mnataka nuru kwa nguvu NO!.
 
Fair enough, wewe ukweli gani unaoutaka?,maandamano sio lazima yapimwe na idadi ya waandamanaji, elewa historia inatueleza maandamano ya yule mke wa mfalme aliyepinga raia kuongezewa kodi, na mme wake (mfalme)akampa sharti la kutembea uchi hadi kwa market place, queen 👸 alifanya hivyo na raia wote wa jiji lile, walijipanga mstari na queen kupita katikati yao akiwa uchi, na NO ONE aliinua macho yake kumwangalia uchi wa queen, na kodi haikupanda,soweto 1976 students uprising ilianza na wanafunzi wachache pale Orlando's west secondary school, na ukawa ndio mwanzo wa kuanguka kwa utawala wa National Party, wewe dot.com endelea kula vya shemeji na dada yako, acha majasiri waipiganie Tanzania ya wote, nini ccm wameifanyia nchi hii kwa more than 60yrs ya utawala wao, niambie hapa
 
Unataga?
 
Hatimae Wananchi wa Arusha wamepata FURSA ya kuonyesha HISIA zao.

Mama kuwa makini na MACHAWA yanayokwambia kuwa hali ni SHWARI na Wananchi wameshiba na wanafuraha SIO KWELI HALI NI NGUMU NGUMU KWELI KWELI KWA SASA MLO MMOJA NI ANASA.

Msema kweli mpenzi wa Mungu.
 
... ,maandamano sio lazima yapimwe na idadi ya waandamanaji, ...
Sasa hapo mbona unaniunga mkono alafu unaleta lugha chafu?.

NO evidence niliyosema watu wachache au wengi, dogo mwenzako ndiye kaandika "
Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika" sasa hii ni JF where we talk open although wewe na wenzako mnataka kuongea closed, 😂 NO!

Weka evidence tuone huo wingi na siyo mbambamba!.
 
Reactions: Tui
Nadhani ni kwasababu ya majonzi, masikitiko na maombolezo mazito yanayoendelea.

Lakini pia hayakua na haja, ulazima, umuhimu, tija wala maana yoyote kufanyika leo, zaidi tu ni usumbufu kwa wasio husika na masikitiko zaidi kwa waombolezaji
 
Saa 7 hii tunasubiri kusikia speech
 
Hongereni Arusha kwa kuwasilisha kilio cha wanyonge kwa njia ya maandamano.
 
Habari ya hapo Arusha wamba,tupo pamoja na watz wote,tuwakilisheni tupo mioyoni mwenu🤓
 
Hatimae Wananchi wa Arusha wamepata FURSA ya kuonyesha HISIA zao.

Mama kuwa makini na MACHAWA yanayokwambia kuwa hali ni SHWARI na Wananchi wameshiba na wanafuraha SIO KWELI HALI NI NGUMU NGUMU KWELI KWELI KWA SASA MLO MMOJA NI ANASA.
Jiji LIMETAPIKA...
 
Kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…