Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu wa Jamii ya Maasai wa Ngorongoro na Loliondo yuko Jukwaani anatema cheche.
 
Jogging linaendelea arusha yaani wananyoosha tu viungo maandamano hayana effect yeyote kijamii wala kisiasa ukiiuliza wanasema tunafikisha ujumbe

Yaani ujumbe afu hakuna kusikilizwa ni lijogging tu
 
27 February 2024
CILAO asasi ya wanaharakati wanaochagiza Haki za Binadamu, Demokrasia na Utawala Bora waunga mkono maandamano Arusha awapongeza chadema kwa kutafuta haki kwa njia ya amani.


View: https://m.youtube.com/watch?v=Sc4L-Et0EbwCILAO is the National Advocacy Organization that aim at Promoting and Protecting :Human Rights, Democracy, Good governance in Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…