Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jogging linaendelea arusha yaani wananyoosha tu viungo maandamano hayana effect yeyote kijamii wala kisiasa ukiiuliza wanasema tunafikisha ujumbe

Yaani ujumbe afu hakuna kusikilizwa ni lijogging tu
Huwezi kuelewa ukiwa ndezi, wenye akili tunaona mbali.
 
Mkitoka hapo mnakwenda wapi?
 
Kama Umechelewa kuja Viwanja vya reli , Usije tena hakuna nafasi

View attachment 2918241

Nguvu ya Umma inapeleka ujumbe kwa serikali ya chama dola kongwe CCM iliyojiweka mamlakani kupitia uchaguzi walioupora 2020 ngazi zote mitaa, vijiji, udiwani, ubunge na urais pia kuwaweka makada wa CCM katika nafasi za uDAS, uDED, uDC, uRAS, uRC kama hisani kwa kushiriki katika uchafuzi na uporaji wa uchaguzi
 
Mwisho wa ccm umefika Rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…