Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #81
Mkuu Tape measure sijui ni kwanini watu humu mnadhani natafuta uteuzi?. Hili mbona nimelisema sana tuu humu! Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! na hata makala nimeliandikiaKuna muda Pascal Mayalla anarudi na kujiteka mwenyewe. Niseme pia maisha ni bahati unaweza ukasifia sana na usibahatike kamweee
Unaweza ukatumia akili mno na usipate kitu, unaweza kuwa mropokaji na ukapata kila kitu mpaka usivyokua ukihitaji.
Bandiko hili liliomba mambo 4.Wanabodi,
[*]Kwa haya anayoyasema sasa, na haya anayoyatenda sasa, tunaamini soon Rais Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa, ataifanyia marekebisho Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuifanya kuwa tume huru zaidi na shirikishi, na atazifanyia marekebisho sheria kandamizi zinazonyima haki ambazo licha ya kuwa ni sheria batili, kwasababu zinakwenda kinyumbe cha Katiba ya JMT, ubatili huo, bado umechomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu!.
Nimalizie kumshukuru Mungu kwa kutuletea Samia: Ni muwaza haki, msema haki , mpenda haki na mtenda haki!. Soon ataruhusu mikutano ya siasa na kuiunda NEC Shirikishi, jee vipi kuhusu ubatili huu ndani ya Katiba yetu?
Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu!, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu, lituondoshee kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025!.
Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Wanabodi,
Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest
Mungu Mbariki Rais Samia,
- Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha kwa kauli na matendo, yeye ni mtu wa haki, sio tuu ni muwaza haki, na msema haki bali ni mpenda haki na mtenda haki kukifanya kile anacho kihubiri, yaani by practicing what she is preaching
- Kwa haya anayoyasema sasa, na haya anayoyatenda sasa, tunaamini soon Rais Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa, ataifanyia marekebisho Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuifanya kuwa tume huru zaidi na shirikishi, na atazifanyia marekebisho sheria kandamizi zinazonyima haki ambazo licha ya kuwa ni sheria batili, kwasababu zinakwenda kinyumbe cha Katiba ya JMT, ubatili huo, bado umechomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu!.
- Hivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Mkuu Lax karibu pande hii ushuhudie.mifano?