Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

Uko vizuri katika kufuatilia news kuhusu TZ. Bila shaka unaielewa nchi hiyo kwa undani wake. Itabidi RAO akutafutie walau nafasi ya ajira katika ubalozi wa Kenya nchini TZ hapo atakapoapishwa kuwa rais.

Shukrani, ila mimi ni kawaida yangu kufuatilia haya mataifa ya Afrika, njoo kule Nairaland.com uone ninavyofuatilia Nigeria.
Sema kwa Tanzania huwa nafuatilia zaidi kidogo maana nilipaishi kwa miaka kadhaa.
 
Ni rais aliye muwazi sana, katika nchi hii tangu imeumbwa hatujawahi na sidhani kama tutakuja kupata rais aliye systematic, anayesikia empathy, sympathy na anayewapenda watu wake kama Rais Samia. Huyu ni rais anayefanya mambo kwa uwazi sana, tunaona maendeleo...Hakuna siri kwenye hilo.
Mkuu field marshall1 , naunga mkono hoja, Rais Samia ni muwazi na baraka sana kwa taifa Letu.

Kiukweli amejitahidi sana kuwa muwazi kwenye mengi lakini ili uwazi ulete manufaa, uwazi huo ni lazima uwe the truth na ufuatiwe na uwajibikaji, yaani truthfulness and transparency must be followed by accountability. Truthfulness ni ukweli kamili yaani full truth.

Mfano kwenye utengenezaji wa filamu ya Royal Tour, kuna transparency ya kiasi cha pesa kilichotumika. Tumeambiwa kimechangwa na matajiri fulani!. Michango yoyote ya kumchangia Mkuu wa nchi must be see through transparency. Sikumbuki kuwahi kuona fund raising letter or event ya kumchangia rais wetu kutengeneza filamu, this means two things,
1. Barua za kuomba michango zilifanywa siri, zikapelekwa kwenye funding institutions kimya kimya, fedha zinatolewa. Kwa vile huyu ni Rais wetu, sisi Watanzania we have the right to information ni kina nani wamemchangia rais wetu, kila aliyechanga ni nani na amechangia kiasi gani?.
2. Inawezekana hakukutwa na fundraising ya aina yoyote, bali Rais wetu ndio amekuwa sponsored kugharimiwa, we as Tanzanian public, we have the right to disclosure ni matajiri gani wamem sponsor Rais wetu na kwa kiasi gani, ili tuondoe mashaka ya uwepo wa any conflict of interest kati ya ma sponsor na biashara zao. Ikitokea ni wafanyabiashara, then lazima kuwepo maximum transparency ni kina nani, wametumia kiasi gani ili tujiridhishe ni Charity money na sio enticed donations itakayo kuja kuwa paid back Kwa kickbacks kwenye tenders kubwa kubwa, this being the case, inamaanisha kuna uwezekano wa rais wetu amehongwa sponsorship ya kutengenezewa movie?.

Na baada ya full disclosure ya sources of the monies, then accountability ya matumizi ya kila senti, ikiwemo artists fee za starring wa hiyo movie.

Tuhuma kama hii ya rais wetu kuhongwa iliwahi kutolewa kule nyuma, na ubalozi wa Marekani kumtuhumu rais wetu fulani kuhongwa suti!. Ni sisi sisi JF tulisimama na rais wetu tukawataka Marekani watuombe radhi Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi! hivyo kwenye Royal Tour, baada ya shamra shamra za uzinduzi huku na kule, tukitulia, tuta demand full disclosure na sio hizi half truths kwasababu Ikulu yetu ni mahala patakatifu, hakuna biashara ya aina yoyote mahala pale patakatifu petu!. Hata rais wetu fulani alipofanya biashara akiwa Ikulu yetu, sisi wa kupinga biashara Ikulu, tulipinga Je, wajua kuwa Mkapa anaweza kushitakiwa? Kinga ya kutoshitakiwa haihusu Rais kufanya biashara Ikulu hili Mwalimu aliliongea vizuri kabisa na mimi nilikuwepo hapo siku hiyo.

P
 
Wewe ushazeeka teuzi zinataka vijana mzee jiandae mwezi ujao sabasaba we kila kiongozi unamlamba miguu [emoji16]
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
  1. Kumezuka huu mtindo wa mtu akisifia jambo lolote kumhusu rais wa JMT, ananyooshewa vidole vya kutafuta uteuzi!. Niliwahi kuendesha darasa la kuwafundisha watu humu jinsi ya kutofautisha wasifiaji wa ukweli na wale wa kujikombakomba na kusaka uteuzi.
  2. Wasifiaji wa ukweli, watasifu kiongozi pale tuu anapofanya mambo mazuri ya ukweli yanayostahili sifa Kwa lengo la kumtia moyo as appreciation and encouragement aendeleze mazuri hayo.
  3. Wasifiaji wa kujikombakomba, wao kazi yao ni moja tuu, kusifu, kulamba, kuimba nyimbo za shangwe, sifa na mapambio, kwa kusifu kila kitu hata yale ya kijinga, wao watasifu tuu kama fanyavyo ma "chawa".
  4. Wasifuji wa ukweli, hawaishii kwenye kusifu tuu, kwa mazuri tuu, bali kukitokea huyo huyo kiongozi waliyemsifu akifanya jambo linalostahili ukosoaji watamkosoa ila ukosoaji huo hufanywa kwa constructive criticism kwa kutumia lugha ya staha. Mtafuta uteuzi kamwe hawezi kukosoa!.
  5. Huu mtandao wa Jamii Forums ulianzishwa enzi za JK, sisi wengine tulimsifu JK kwa mazuri yake, pia tulimkosoa kwa mapungufu yake, bila kutafuta uteuzi wowote. (Riz.1 ni rafiki, wa toka UDSM, ingekuwa ni kutafuta uteuzi, it would have been just a click)
  6. Alipoingia JPM, pia tulimsifu kwa mazuri yake ukiwemo uchapakazi wake na kumkosoa kwa madhaifu yake. Kwa maoni yangu, ukosoaji wa JPM ulimsaidia sana kuliko hata wasifiaji!.
  7. Sasa tuko na Rais Samia, kwa jinsi anavyoupiga mwingi, tutamsifu, ila pia yeye sio malaika.
  8. Hivyo mimi Paskali, naomba ku declare interest, namsifu Rais Samia kwa mazuri yake na wala sitafuti uteuzi wowote, na kumsifu rais Samia sikuanza leo, baada ya yeye kuwa rais wetu, tembelea HAPA! na HAPA!
  9. Tena ni mimi mwaka 2015 nilimtaja Samia Suluhu Hassan kuwa ni miongoni mwa ma best female presidential material HAPA!
  10. Hivyo pongezi zangu mbalimbali kwa Rais Samia, ni pongezi bonafide genuine kama hizi PONGEZI! PONGEZI!, SAMIA TUMAINI JIPYA! SAMIA MPONYAJI!
  11. Ila pia nelewa kuwa Rais Samia ni binadamu, na sio malaika, hivyo anaweza kukosea makosa ya kibinaadamu, sasa hatumsubiri Rais Samia akosee ndio tumkosoe, bali sasa tunamuangazia mwanga zaidi ili asikosee na akikosea pia tunamkosoa humu humu kama hapa jinsi nilivyo mkosoa RAIS SAMIA SIO MALAIKA, NI BINADAMU! na 2025 SIO LAZIMA SAMIA! na JAPO TUMEPANGA 2025 TWENDE NA MWANAMKE, KUNA HII SAUTI!
  12. Hata kwenye utengenezaji wa filamu ya Royal Tour, tangu mwanzo tunaiandaa, tulikosoa kwa kushauri, local producers wa ndani pia tushirikishwe, ili kuvuna utaalamu wa wazungu, na baada ya Mama kutengeneza filamu ya Royal Your kwa lugha ya kizungu kwa ajili ya wazungu, sisi local producers, tumtengenezee Mama "A Tanzanian Tour" kwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya kuhamasisha na kukuza utalii wa ndani.
  13. Kabla ya uzinduzi wa Royal Tour, wengi wameishia kusifu tuu, akina sisi ambao tuko more objective, hatukuishia kusifu tuu bali pia tumekosoa! ROYAL TOUR TUNGE...!
  14. Hivyo msifu mtafuta uteuzi, atasifu tuu, kamwe hawezi kukosoa lolote, msifu ukweli, wa sifa bonafide genuine, atasifu panapostahili sifa na kukosoa panapostahili ukosoaji kwa kutumia constructive criticism.
  15. View attachment 2250700View attachment 2250701
  16. Utangulizi Kama kawa, leo tana nimepata fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za 2025, Rais Samia, Ameosha kwa Kauli na Matendo, Yeye ni mtu wa haki, sio tuu ni muwaza haki, na msema haki bali ni mtenda haki by practicing what she is preaching
  17. Tunaamini soon ataruhusu mikutano ya siasa, na kuifanyia marekebisho Tume ya taifa ya Uchaguzi kuifanya kuwa tume huru zaidi na shirikishi.
  18. Katiba yetu ya 1977 ilitoa uhuru kwa kila Mtanzania mwenye sifa na vigezo, kuwa huru kushiriki kwenye kuunda serikali toka serikali za mitaa hadi serikali kuu kwa sherti moja tuu la Utanzania wake. Hivyo kila Mtanzania ana haki na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa.
  19. Katiba hiyo imetoa tuko uhuru wa kila Mtanzania kuwa huru kushiriki uchaguzi kwa kugombea nafasi yoyote na kushiriki kuwachagua viongozi wetu, bila vikwazo vyovyote. Hili ndilo lilikuwa lengo la mtunga katiba.
  20. Baadae kukajitokeza wataalamu fulani wa kufanya "mambo", wakafanya mambo!. Ile haki ya kila Mtanzania kuchagua viongozi Kwa kupiga kura kuwachagua viongozi, kwa uhuru, bado ipo na inaendelea, lakini haki na uhuru wa Mtanzania yoyote kushiriki kwenye kuunda serikali, yaani haki ya kugombea na kuchaguliwa, haki hii imeondolewa kwa ubatili fulani.
  21. Japo Rais Samia ameunda timu ya "kikosi kazi" cha kumshauri, kikosi kazi hicho kinaita baadhi tuu ya watu, sijasikia kama sisi wananchi wa kawaida ambao ndio wamiliki wa katiba, pia tuko huru kufika mbele ya kikosi kazi, kuwasilisha mawazo yetu, ila mimi na haya mawazo yangu, nitayaandika na kuyawasilisha,
  22. Kwa vile tayari Rais Samia ameisha onyesha kwa kauli na matendio, yeye sio tuu ni muwaza haki na msema haki, bali pia ni mtenda haki kwa matendo ya haki kuonekana, tunamuomba atutendee haki Watanzania, kwa kutuondolea ubatili huu, ndani ya Katiba Yetu!.
  23. Angalizo Bandiko hili, linauzungumzia ubatili fulani kwenye katiba yetu, kwa vile Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitu vikubwa, virefu, vigumu, wanapenda vitu rahisi rahisi, na mabandiko mafupi mafupi, wa type hii, mnaweza kuishia hapa, halafu mkarukia moja Kwa moja kwenye hitimisho. Wale mastory mastory tuendeleeni na
  24. Mastori ya Pasco Paskali Snr

Hitimisho
Jana kwenye mitandao ya kijamii, zimesikika habari, Tundu Lissu amelipwa haki zake zote alizo dhulumiwa, hivyo hapa ni uthibitisho tuu wa matendo ya haki na sio tuu kauli za haki.

Naamini kupitia “kikosi kazi”, soon ataruhusu mikutano ya siasa, ataifumua na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuifanya iwe shirikishi, pia tunamuomba rais Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, inayoruhusu kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa, haki ya kuchagua bado ipo ila haki ya kuchaguliwa, imechomekewa ubatili fulani wa kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe ni huu
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!

Hivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Nimalizie kumshukuru Mungu kwa kutuletea Rais Samia: Ni muwaza haki, msema haki na mtenda haki!. Soon ataruhusu mikutano ya siasa na kuiunda NEC Shirikishi, jee vipi kuhusu ubatili huu ndani ya Katiba yetu?

Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu.

Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Toka amwache huru muhalifu no1 tanzania ...yule singasinga basi wote mnaompongeza huyo mama ni WAHUNI TU ...NA WAHUNI NDIYO WOTE WASIOKUWA WAZALENDO AU WENYEKUCHUKIA UZALENDO
 
Mimi Mkenya hapa, napenda sana kusoma makala yako, huwa very deep, insightful and thought provoking, sema ndugu zako wazembe wa kusoma, comments zao zinaonyesha hawasomi kitu na kuelewa, wanajibu tu moja kwa moja.
Wala haujakosea jirani.
 
Toka amwache huru muhalifu no1 tanzania ...yule singasinga basi wote mnaompongeza huyo mama ni WAHUNI TU ...NA WAHUNI NDIYO WOTE WASIOKUWA WAZALENDO AU WENYEKUCHUKIA UZALENDO
Mkuu Lwiva , Tanzania tunafuata mfumo wa haki wa Jumuiya ya Madola, laws of commons, kila mtuhumiwa anahesabika innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction. Hivyo huyo unayemuita mhalifu number 1, sio mhalifu kabisa maana hakuhukumiwa na mahakama yoyote.

Mimi ni miongoni mwa waandishi waliojitokeza kuwatetea hawa kupitia makala hizi Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki
1654420780133.png

na hii Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...
1654421066649.png

P
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
  1. Kumezuka huu mtindo wa mtu akisifia jambo lolote kumhusu rais wa JMT, ananyooshewa vidole vya kutafuta uteuzi!. Niliwahi kuendesha darasa la kuwafundisha watu humu jinsi ya kutofautisha wasifiaji wa ukweli na wale wa kujikombakomba na kusaka uteuzi.
  2. Wasifiaji wa ukweli, watasifu kiongozi pale tuu anapofanya mambo mazuri ya ukweli yanayostahili sifa Kwa lengo la kumtia moyo as appreciation and encouragement aendeleze mazuri hayo.
  3. Wasifiaji wa kujikombakomba, wao kazi yao ni moja tuu, kusifu, kulamba, kuimba nyimbo za shangwe, sifa na mapambio, kwa kusifu kila kitu hata yale ya kijinga, wao watasifu tuu kama fanyavyo ma "chawa".
  4. Wasifuji wa ukweli, hawaishii kwenye kusifu tuu, kwa mazuri tuu, bali kukitokea huyo huyo kiongozi waliyemsifu akifanya jambo linalostahili ukosoaji watamkosoa ila ukosoaji huo hufanywa kwa constructive criticism kwa kutumia lugha ya staha. Mtafuta uteuzi kamwe hawezi kukosoa!.
  5. Huu mtandao wa Jamii Forums ulianzishwa enzi za JK, sisi wengine tulimsifu JK kwa mazuri yake, pia tulimkosoa kwa mapungufu yake, bila kutafuta uteuzi wowote. (Riz.1 ni rafiki, wa toka UDSM, ingekuwa ni kutafuta uteuzi, it would have been just a click)
  6. Alipoingia JPM, pia tulimsifu kwa mazuri yake ukiwemo uchapakazi wake na kumkosoa kwa madhaifu yake. Kwa maoni yangu, ukosoaji wa JPM ulimsaidia sana kuliko hata wasifiaji!.
  7. Sasa tuko na Rais Samia, kwa jinsi anavyoupiga mwingi, tutamsifu, ila pia yeye sio malaika.
  8. Hivyo mimi Paskali, naomba ku declare interest, namsifu Rais Samia kwa mazuri yake na wala sitafuti uteuzi wowote, na kumsifu rais Samia sikuanza leo, baada ya yeye kuwa rais wetu, tembelea HAPA! na HAPA!
  9. Tena ni mimi mwaka 2015 nilimtaja Samia Suluhu Hassan kuwa ni miongoni mwa ma best female presidential material HAPA!
  10. Hivyo pongezi zangu mbalimbali kwa Rais Samia, ni pongezi bonafide genuine kama hizi PONGEZI! PONGEZI!, SAMIA TUMAINI JIPYA! SAMIA MPONYAJI!
  11. Ila pia nelewa kuwa Rais Samia ni binadamu, na sio malaika, hivyo anaweza kukosea makosa ya kibinaadamu, sasa hatumsubiri Rais Samia akosee ndio tumkosoe, bali sasa tunamuangazia mwanga zaidi ili asikosee na akikosea pia tunamkosoa humu humu kama hapa jinsi nilivyo mkosoa RAIS SAMIA SIO MALAIKA, NI BINADAMU! na 2025 SIO LAZIMA SAMIA! na JAPO TUMEPANGA 2025 TWENDE NA MWANAMKE, KUNA HII SAUTI!
  12. Hata kwenye utengenezaji wa filamu ya Royal Tour, tangu mwanzo tunaiandaa, tulikosoa kwa kushauri, local producers wa ndani pia tushirikishwe, ili kuvuna utaalamu wa wazungu, na baada ya Mama kutengeneza filamu ya Royal Your kwa lugha ya kizungu kwa ajili ya wazungu, sisi local producers, tumtengenezee Mama "A Tanzanian Tour" kwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya kuhamasisha na kukuza utalii wa ndani.
  13. Kabla ya uzinduzi wa Royal Tour, wengi wameishia kusifu tuu, akina sisi ambao tuko more objective, hatukuishia kusifu tuu bali pia tumekosoa! ROYAL TOUR TUNGE...!
  14. Hivyo msifu mtafuta uteuzi, atasifu tuu, kamwe hawezi kukosoa lolote, msifu ukweli, wa sifa bonafide genuine, atasifu panapostahili sifa na kukosoa panapostahili ukosoaji kwa kutumia constructive criticism.
  15. View attachment 2250700View attachment 2250701
  16. Utangulizi Kama kawa, leo tana nimepata fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za 2025, Rais Samia, Ameosha kwa Kauli na Matendo, Yeye ni mtu wa haki, sio tuu ni muwaza haki, na msema haki bali ni mtenda haki by practicing what she is preaching
  17. Tunaamini soon ataruhusu mikutano ya siasa, na kuifanyia marekebisho Tume ya taifa ya Uchaguzi kuifanya kuwa tume huru zaidi na shirikishi.
  18. Katiba yetu ya 1977 ilitoa uhuru kwa kila Mtanzania mwenye sifa na vigezo, kuwa huru kushiriki kwenye kuunda serikali toka serikali za mitaa hadi serikali kuu kwa sherti moja tuu la Utanzania wake. Hivyo kila Mtanzania ana haki na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa.
  19. Katiba hiyo imetoa tuko uhuru wa kila Mtanzania kuwa huru kushiriki uchaguzi kwa kugombea nafasi yoyote na kushiriki kuwachagua viongozi wetu, bila vikwazo vyovyote. Hili ndilo lilikuwa lengo la mtunga katiba.
  20. Baadae kukajitokeza wataalamu fulani wa kufanya "mambo", wakafanya mambo!. Ile haki ya kila Mtanzania kuchagua viongozi Kwa kupiga kura kuwachagua viongozi, kwa uhuru, bado ipo na inaendelea, lakini haki na uhuru wa Mtanzania yoyote kushiriki kwenye kuunda serikali, yaani haki ya kugombea na kuchaguliwa, haki hii imeondolewa kwa ubatili fulani.
  21. Japo Rais Samia ameunda timu ya "kikosi kazi" cha kumshauri, kikosi kazi hicho kinaita baadhi tuu ya watu, sijasikia kama sisi wananchi wa kawaida ambao ndio wamiliki wa katiba, pia tuko huru kufika mbele ya kikosi kazi, kuwasilisha mawazo yetu, ila mimi na haya mawazo yangu, nitayaandika na kuyawasilisha,
  22. Kwa vile tayari Rais Samia ameisha onyesha kwa kauli na matendio, yeye sio tuu ni muwaza haki na msema haki, bali pia ni mtenda haki kwa matendo ya haki kuonekana, tunamuomba atutendee haki Watanzania, kwa kutuondolea ubatili huu, ndani ya Katiba Yetu!.
  23. Angalizo Bandiko hili, linauzungumzia ubatili fulani kwenye katiba yetu, kwa vile Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitu vikubwa, virefu, vigumu, wanapenda vitu rahisi rahisi, na mabandiko mafupi mafupi, wa type hii, mnaweza kuishia hapa, halafu mkarukia moja Kwa moja kwenye hitimisho. Wale mastory mastory tuendeleeni na
  24. Mastori ya Pasco Paskali Snr

Hitimisho
Jana kwenye mitandao ya kijamii, zimesikika habari, Tundu Lissu amelipwa haki zake zote alizo dhulumiwa, hivyo hapa ni uthibitisho tuu wa matendo ya haki na sio tuu kauli za haki.

Naamini kupitia “kikosi kazi”, soon ataruhusu mikutano ya siasa, ataifumua na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuifanya iwe shirikishi, pia tunamuomba rais Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, inayoruhusu kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa, haki ya kuchagua bado ipo ila haki ya kuchaguliwa, imechomekewa ubatili fulani wa kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe ni huu
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!

Hivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Nimalizie kumshukuru Mungu kwa kutuletea Rais Samia: Ni muwaza haki, msema haki na mtenda haki!. Soon ataruhusu mikutano ya siasa na kuiunda NEC Shirikishi, jee vipi kuhusu ubatili huu ndani ya Katiba yetu?

Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu.

Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Mayalla wakati wa kichaa yule uliufyata na kugeuka msifiaji wa ujinga. Ogopa kitu njaa
 
Pascal Mayalla
Wakati wa Mwendazake ulimsifu kwa makala lukuki
Sasa umehamia kumsifu rais Samia kwa style yake nzuri ya utawala, tatizo ni kwamba hawa wawili huwezi kusema wanna mfumo uliofanana wa utawala
Unabadilika badilika.
 
Mkuu Mtama mchungu, naunga mkono hoja, huu ubatili haupo kwa bahati mbaya, kiliingizwa kwa makusudi mazima. Kiukweli kabisa, hicho kilichofanyika ni ubatili na uhuni mtupu!. Kwa vile Mama Samia ni mpenda haki, jukumu letu ni kumuangazia kwa kuumulikia huo ubatili, Mama Samia auone atuondolee.
P
Labda tujue kwanza, ubatili uliingizwa na "mfumo" au "mwenyekiti". Kama ni wa mfumo, hapo hata mwenyekiti hakuna anachoweza kufanya. Mwenyekiti anaweza kuwa na nia njema kabisa, lakini kama mfumo hautaki; hakuna mabadiliko. Bado naamini Kikwete alikuwa na nia ya kuleta katiba mpya, lakini kilichomwangusha ni mfumo "kumgomea". Maana Mkapa siamini kama alikuwa mjinga na mbinafsi kiasi cha kukubali yale mabadiliko; nini kilichomsukuma? Na sasa hivi hakipo?
 
Mkuu MtamaMchungu ,ubatili wenyewe imechomekewa systematic and not individually
Ubatili wenyewe ni huu
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!

Mama ni mpenda haki mtenda haki, akiujua ubatili huu jinsi ulivyo chomekewa, tunakwenda kuumuonyesha

P
 
Mayalla wakati wa yule uliufyata na kugeuka msifiaji wa ujinga. Ogopa kitu njaa
Mkuu Gulwa , kwanza ni mimi ile 2014, ndiye niliye eleza humu kuwa 2015 ni JPM na kuzieleza sababu zikiwemo strengths na weakness zake Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Pia nilishauri yule mgombea wangu Elections 2015 - Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali Matokeo, Vunja Kambi, Jisalimishe!

Na baada ya uchaguzi, mbona nilisema kila kitu Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Wewe ulikuwa unakutana na mabandiko ya kumsifu tuu, yale ya critics ulikuwa hoyaoni?
P
 
Pascal Mayalla
Wakati wa Mwendazake ulimsifu kwa makala lukuki
Mkuu Babu Ochu, kwanza ni kweli nilisifu kwa makala lukuki, jee zilikuwa ni sifa za uongo?. Magufuli alikuwa jembe au sii jembe?. Makala zote za kusifu, alistahili, jee makala zangu lukuki za criticism of JPM ulikuwa unaiona?.
Sasa umehamia kumsifu rais Samia kwa style yake nzuri ya utawala
Kama ulivyo eleza kuhusu style nzuri ya utawala wa Samia, jee anastahili kusifiwa?. Na kwa Samia, jee umeona makala za sifa tuu?, za criticism jee hujaziona?.
tatizo ni kwamba hawa wawili huwezi kusema wanna mfumo uliofanana wa utawala
Unabadilika badilika.
Kuna mtu yoyote amewahi kusema Sa💯 na JPM wanafanana mifumo?.
JPM utawala wake ulikuwa Top-buttom style huku akijenga watu, powerful people. Sa💯 yeye ni Bottom-Up, style huku akijenga mifumo, systems Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli
P
 
Back
Top Bottom