Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Nami pia [emoji106][emoji2956]Naunga mkono hoja tena tumemsisitizia with timeframe Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!
P
Hili fupa ni zaizi yake kabisa!. Soon utashuhudia jinsi anavyoligegeda na kuna wengine watashangaa!.Haki ya kuchagua na kuchaguliwa ni kipande cha fupa atakaye kuja kulitafuna hayuko kwenye kizazi hiki ninaona safari ndefu yenye shida hata kufikia tulipofika na si kwa kuzingatia sheria ni utashi tu
Kwanini wanune?Mgombea binafsi! Hii sawa ila akina Mbowe Watanuna
Mkuu Retired ,usitukane watu limbukeni!, huyu ni Ph.D holder, ni kichwa sana japo... GEITA: Msukuma amshusha cheo mkuu wa shule kwa kukataa Magufuli club kufanyia mahafali shuleni!Msukuma limbukeni huyo! What is this?
Huku ni kuwa mtu wa shukrani kwa kushukuru kwa yote,Unashukuru Nini? Mtu kakunyanganya Shati lako, umefight akakurudishia /ukalichukua, halafu unashukuru.......
Heshima kitu cha bure, usitukane watu bila kosa!.bladimbuzi
PhD from where? ngoja nione! Hizi za Udom? hapana! Tafuta thesis zao uone kama kweli kuna new knowledge of importance wameiainisha kwenye tafiti zao... most likely ni surveys! Surveys za KAP is not research!Mkuu @Retired ,usitukane watu limbukeni!, huyu ni Ph.D holder, ni kichwa sana japo..
Siamini kama ikiruhusiwa, kuna mtu atagombea kupitia hivi vyama mahokaKwanini wanune?
P
basi nisamehe sitarudia tena.Mkuu Retired ,usitukane watu limbukeni!, huyu ni Ph.D holder, ni kichwa sana japo... GEITA: Msukuma amshusha cheo mkuu wa shule kwa kukataa Magufuli club kufanyia mahafali shuleni!
Huku ni kuwa mtu wa shukrani kwa kushukuru kwa yote,
Heshima kitu cha bure, usitukane watu bila kosa!.
P
Mimi ni old school, wengi humu ni madogo!, wengi wa zamani wananijua nilipokuwa naendesha kipindi cha Kiti Moto.Mkuu lakini hata wewe hujioni? swali lako lilikufanya ukawa maarufu kupita kiasi, binafsi nilikuwa sikujui hata kidogo ndiyo ilisababisha nikaanza kukufuatilia Star TV sijui wapi, ulivyokuja kuzingua mkuu tulikuambia
Heshimu vyama vya watu!, usiviite vyama mahoka!.Siamini kama ikiruhusiwa, kuna mtu atagombea kupitia hivi vyama mahoka
Duh...!. Pen down!.Haki ni stahiki sio hisani!, haki haiombwi na kutegemea hisani, wala haki haihitaji vikao, mikutano na majadiliano na maridhiano kuzijadili haki, na haki hauletewi kwenye kisahani cha chai kama hisani, fadhila au zawadi, haki ni stahiki inayopaswa kutolewa unconditional bila masharti yoyote, Haki is a right, inayopaswa kutolewa unconditional na isipotolewa, haiombwi, wala haibembelezewi kwa vikao vya maridhiano, bali hudaiwa, na katika kuidai huku kukishindikana kuidai kwa amani na kisheria, ndipo nguvu hutumika kuipigania, kwa kuweka mashinikizi ya mikutano na maandamano ya kudai haki hizo na sio kuziomba, na hapa ni pale tuu inapobidi, baada ya njia nyingine zote kushindikana ni katika kuipigania huku kuna wakati machozi, jasho na damu huweza kumwagika, katika kupigania haki.
Duh Mkuu Ngalikihinja mwacheni apumzike!.Kaka Paskali, hii kauli haijaanzia kwa bwana Bejamini Netanyahu , ilikoanzia unakujua. Sijui kama na huko ulipinga hivi hivi au la.!!
Ulikuja ukayumba wapi?Mimi ni old school, wengi humu ni madogo!, wengi wa zamani wananijua nilipokuwa naendesha kipindi cha Kiti Moto.
P
Mkuu FUSO , hizi kauli za jina hili nyingine zinatoka kwa people with powers, kauli zao zinaumba, hivyo kuniumbia hiyo hali!.leo naona Mayalla aka njaa kwa kiswahili umeiweka pembeni,
Mkuu Fuso, kwanza humu siku hizi kumejaa madogo, na wengi humu wanadhani mimi naandika humu ili kuusaka u DC!, lakini old school wenzangu they know me and they know what I stand for.ila makala kama hizi ndizo zinakunyimaga u-DC ndugu yangu.
Hoja nzuri kwa kuuanza mwaka 2023.
Upo sahihi sn comrademoja ya udhaifu wetu mkubwa ni kuomba kitu ambacho ni halali yako na matokeo yake tunawapa nafasi watawala kutupa kile anachoona kwake hakina madhara.
Swala kuchaguliwa au kuchagua ni haki tuliyo nayo hivyo tusitegemee tutapewa kwa huruma ya watawala waliopo.
Mchungaji Mtikila mpaka umauti unamkuta aliipigania bila kuchoka na mwisho wake alishinda kwenye mahakama ya Afrika lakini ilipokuja kusajiliwa kwenye mahakamu kuu serikali illeta uetezi kuwa haki ya kuchaguliwa imewekwa kwenye rasimu ya katiba ambayo ingeenda kujadiliwa kwenye bunge la katiba.
Kinachotakiwa ni kurudi mahakamani na kuitaka mahakama ikazie hukumu na sio kutegemea huruma ya rais Samia.
Lazima tupambane na hawa watawala dhalimu haswaHaki ni stahiki sio hisani!, haki haiombwi na kutegemea hisani, wala haki haihitaji vikao, mikutano na majadiliano na maridhiano kuzijadili haki, na haki hauletewi kwenye kisahani cha chai kama hisani, fadhila au zawadi, haki ni stahiki inayopaswa kutolewa unconditional bila masharti yoyote, Haki is a right, inayopaswa kutolewa unconditional na isipotolewa, haiombwi, wala haibembelezewi kwa vikao vya maridhiano, bali hudaiwa, na katika kuidai huku kukishindikana kuidai kwa amani na kisheria, ndipo nguvu hutumika kuipigania, kwa kuweka mashinikizi ya mikutano na maandamano ya kudai haki hizo na sio kuziomba, na hapa ni pale tuu inapobidi, baada ya njia nyingine zote kushindikana ni katika kuipigania huku kuna wakati machozi, jasho na damu huweza kumwagika, katika kupigania haki.
Sijawahi kuyumba popote!, besides being a journalist, I was mjeda, hivyo huko nnavyo dhani nimeyumba ni just survivor mechanismUlikuja ukayumba wapi?
Hilo jina silipendi kwasababu kauli nyingine huumba, nakuomba sana usiendelee kulitumia unless kama intentions yako is to hurt me. Please!.Hapa uliandika kama Paschal Mayala na siyo Paschal Njaa