Asante Samia kwa ujumbe. Sasa tumeelewa bila watu fluani CCM haipo

Hizo ni fikra zao tu mkuu,

Ila wakati CCM inaundwa hao hawakuwepo

Historia inatuambia hivyo.

Hivyo wasikutishe mkuu,

Acha waruke ruke tu ila yote haya yana mwisho wake.

Mungu atatusaidia.
Ni kweli kila jambo lina mwisho wake hata huu ni mwanzo baada ya mwisho fulani kufikia, swali ni mwanzo huu utachukua muda gani kufikia mwisho? Na mwanzo mpya utakuwa kama unavyotegemea? Utakuwepo kwenye huo mwanzo? Tafuta namna ufurahie wakati uliopo.
 
Yote hiyo ni Mipango ya Mungu.

Wapo waliojiona Dunia nzima ni yao na kufikia hatua ya kujiona ni Miungu ila leo wamebakia Historia tu.

Hata hawa leo wanaojiona hii nchi ni yao ipo siku aliyopanga Mungu watabakia historia tu.

Tanzania itapumua bila wao.

Ipo siku na itakuja na wala haipo mbali sana.

Uhuru kamili upo karibu sana. Tutaupata tu.
 
Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?

Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Kwa kelele zote zile nilijua anajipya, ameishia kulipa fadhila tu na kukamilisha utatu mchafu.
 
Ila washauri hawana wisdom. Kuna vitu wanalazimisha watu waviamini hata kama haviko hivyo. Mungu isaidie nchi yangu
Angemwacha Kikwete, sasa amepiga panda mwenyewe.
 
Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?

Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Mgogo halisi HAHAHAA HII ID IMEZALIWA UPYA KWA KUBATIZWA KWA MOTO JAPO ILIKUWEPO.

BTW Watanzania tuungane tulitoe hili zimwi linaloitwa ccm. Hatuna cha kupoteza tukilitoa zaidi ya kujikomboa toka utumwani
 
Katika siku ambazo nimewahi furahi sana ni leo. Nchi imerudi katika ubora wake. Ajira zitaanza kumwagika Kama kipindi Cha jk. Pesa au mzungo wa pesa utaanza kuonekana. Asante Sana mungu umetusikiliza wanyonge
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Yote hiyo ni Mipango ya Mungu.

Wapo waliojiona Dunia nzima ni yao na kufikia hatua ya kujiona ni Miungu ila leo wamebakia Historia tu.

Hata hawa leo wanaojiona hii nchi ni yao ipo siku aliyopanga Mungu watabakia historia tu.

Tanzania itapumua bila wao.

Ipo siku na itakuja na wala haipo mbali sana.

Uhuru kamili upo karibu sana. Tutaupata tu.
Kila la heri.
 
Yoyote atakayempinga Samia anacheza na Uhai wake. Samia ni Rais mpaka 2030.
Ndugu usiseme kana kwamba wewe ndiye unagawa uhai kwa wanadamu. Hatujui kesho yetu, yawezekana Mpango akawa rais kabla ya 2025. Ni mtazamo tu.
 
Yote hiyo ni Mipango ya Mungu.

Wapo waliojiona Dunia nzima ni yao na kufikia hatua ya kujiona ni Miungu ila leo wamebakia Historia tu.

Hata hawa leo wanaojiona hii nchi ni yao ipo siku aliyopanga Mungu watabakia historia tu.

Tanzania itapumua bila wao.

Ipo siku na itakuja na wala haipo mbali sana.

Uhuru kamili upo karibu sana. Tutaupata tu.

Laigwanani vipi tena mbona unabadili gear angani
 
Magu alikua jambazi, muuaji mporaji mkabila, bora hao mara mia, ni wezi ila wana utu.
Ujinga ni pale unaposhabikia kitu chenye madhara hasi kwako huku ukichukia chenye manufaa kwako
 
Katika siku ambazo nimewahi furahi sana ni leo. Nchi imerudi katika ubora wake. Ajira zitaanza kumwagika Kama kipindi Cha jk. Pesa au mzungo wa pesa utaanza kuonekana. Asante Sana mungu umetusikiliza wanyonge
Njia imelowanishwa ! Sasa ni kuteleza tu au sio ? Ikitotanzila !! ?
 
Utelezi unadondosha na kuvunjavinja saa nyingine...Sijui kwanini macho yangu huwa yanaona yasiyoonekana....It is well with my country
 
Ujinga ni pale unaposhabikia kitu chenye madhara hasi kwako huku ukichukia chenye manufaa kwako
Maelezo yako yote hayabadishi ukweli wa kuwa Magu alikuwa mtesaji, muuaji, jambazi katili na dictator.
Heri hawa matapeli ni rahisi jinsi ya kuishi nao.
 
Back
Top Bottom