joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mwanasgang.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kila jambo lina mwisho wake hata huu ni mwanzo baada ya mwisho fulani kufikia, swali ni mwanzo huu utachukua muda gani kufikia mwisho? Na mwanzo mpya utakuwa kama unavyotegemea? Utakuwepo kwenye huo mwanzo? Tafuta namna ufurahie wakati uliopo.Hizo ni fikra zao tu mkuu,
Ila wakati CCM inaundwa hao hawakuwepo
Historia inatuambia hivyo.
Hivyo wasikutishe mkuu,
Acha waruke ruke tu ila yote haya yana mwisho wake.
Mungu atatusaidia.
Yote hiyo ni Mipango ya Mungu.Ni kweli kila jambo lina mwisho wake hata huu ni mwanzo baada ya mwisho fulani kufikia, swali ni mwanzo huu utachukua muda gani kufikia mwisho? Na mwanzo mpya utakuwa kama unavyotegemea? Utakuwepo kwenye huo mwanzo? Tafuta namna ufurahie wakati uliopo.
Kwa kelele zote zile nilijua anajipya, ameishia kulipa fadhila tu na kukamilisha utatu mchafu.Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Angemwacha Kikwete, sasa amepiga panda mwenyewe.Ila washauri hawana wisdom. Kuna vitu wanalazimisha watu waviamini hata kama haviko hivyo. Mungu isaidie nchi yangu
Mgogo halisi HAHAHAA HII ID IMEZALIWA UPYA KWA KUBATIZWA KWA MOTO JAPO ILIKUWEPO.Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Yes na utatu mchafu umekamilika.Wahuni wamerudi rasmi.
Mmeshindwa kuwazuia wasirudi auWahuni wamerudi rasmi.
Ulitaka ardhi apewe Nani, Ridhiwani ujambazi wake NiniYes na utatu mchafu umekamilika.
Nape
Makamba
Mwigulu.
Haha maza amechemsha sana...eti jambazi Rizi anapewa ardhi????
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Katika siku ambazo nimewahi furahi sana ni leo. Nchi imerudi katika ubora wake. Ajira zitaanza kumwagika Kama kipindi Cha jk. Pesa au mzungo wa pesa utaanza kuonekana. Asante Sana mungu umetusikiliza wanyonge
Hata wewe ungefaa mkuuUlitaka ardhi apewe Nani, Ridhiwani ujambazi wake Nini
Kila la heri.Yote hiyo ni Mipango ya Mungu.
Wapo waliojiona Dunia nzima ni yao na kufikia hatua ya kujiona ni Miungu ila leo wamebakia Historia tu.
Hata hawa leo wanaojiona hii nchi ni yao ipo siku aliyopanga Mungu watabakia historia tu.
Tanzania itapumua bila wao.
Ipo siku na itakuja na wala haipo mbali sana.
Uhuru kamili upo karibu sana. Tutaupata tu.
Ndugu usiseme kana kwamba wewe ndiye unagawa uhai kwa wanadamu. Hatujui kesho yetu, yawezekana Mpango akawa rais kabla ya 2025. Ni mtazamo tu.Yoyote atakayempinga Samia anacheza na Uhai wake. Samia ni Rais mpaka 2030.
Yote hiyo ni Mipango ya Mungu.
Wapo waliojiona Dunia nzima ni yao na kufikia hatua ya kujiona ni Miungu ila leo wamebakia Historia tu.
Hata hawa leo wanaojiona hii nchi ni yao ipo siku aliyopanga Mungu watabakia historia tu.
Tanzania itapumua bila wao.
Ipo siku na itakuja na wala haipo mbali sana.
Uhuru kamili upo karibu sana. Tutaupata tu.
Ujinga ni pale unaposhabikia kitu chenye madhara hasi kwako huku ukichukia chenye manufaa kwakoMagu alikua jambazi, muuaji mporaji mkabila, bora hao mara mia, ni wezi ila wana utu.
Njia imelowanishwa ! Sasa ni kuteleza tu au sio ? Ikitotanzila !! ?Katika siku ambazo nimewahi furahi sana ni leo. Nchi imerudi katika ubora wake. Ajira zitaanza kumwagika Kama kipindi Cha jk. Pesa au mzungo wa pesa utaanza kuonekana. Asante Sana mungu umetusikiliza wanyonge
Utelezi unadondosha na kuvunjavinja saa nyingine...Sijui kwanini macho yangu huwa yanaona yasiyoonekana....It is well with my countryNjia imelowanishwa ! Sasa ni kuteleza tu au sio ? Ikitotanzila !! ?
Maelezo yako yote hayabadishi ukweli wa kuwa Magu alikuwa mtesaji, muuaji, jambazi katili na dictator.Ujinga ni pale unaposhabikia kitu chenye madhara hasi kwako huku ukichukia chenye manufaa kwako
Wewe ni mpumbavuMagu alikua jambazi, muuaji mporaji mkabila, bora hao mara mia, ni wezi ila wana utu.
Wahuni 5 - Viroboto 0