Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali.
Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa wetu wamepambana kwa jasho na damu.
Tuna medali, tuna kiatu cha dhahabu cha mfungaji bora Mayele, tuna Man of the match Diara.
Thank you our heroes.
Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa wetu wamepambana kwa jasho na damu.
Tuna medali, tuna kiatu cha dhahabu cha mfungaji bora Mayele, tuna Man of the match Diara.
Thank you our heroes.