Hii nchi uhuru umezidi sana! Yaani sisi mashabiki wa Yanga kwa kauli moja tumeamua kuipongeza timu yetu baada ya kuridhishwa na kiwango chao msimu huu!!
Cha kushangaza kuna mimbumbumbu inaumia!! Hivi hata ujasiri wa kuchangia kwenye huu uzi sijui yanautoa wapi!!
Imagine msimu mzima timu yao haijaambulia chochote, huku wananchi wakichukua Ngao ya Jamii, Ubingwa ligi kuu, msindi wa pili kombe la shirikisho Barani Africa, na tarehe 12 Juni wanacheza fainali nyingine ya ASFC!!
Kweli Rage anastahili kujengewa mnara wa kumbukumbu.