Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

Mimi shabiki wa USM Alger na hii thd inahusu Yanga vs USM Alger,sasa hicho kituko ulichopost kinahusiana nini na hii thd?
 
Hii nchi uhuru umezidi sana! Yaani sisi mashabiki wa Yanga kwa kauli moja tumeamua kuipongeza timu yetu baada ya kuridhishwa na kiwango chao msimu huu!!

Cha kushangaza kuna mimbumbumbu inaumia!! Hivi hata ujasiri wa kuchangia kwenye huu uzi sijui yanautoa wapi!!

Imagine msimu mzima timu yao haijaambulia chochote, huku wananchi wakichukua Ngao ya Jamii, Ubingwa ligi kuu, msindi wa pili kombe la shirikisho Barani Africa, na tarehe 12 Juni wanacheza fainali nyingine ya ASFC!!


Kweli Rage anastahili kujengewa mnara wa kumbukumbu.
Hii jf na hili suLa la yanga kufika fainali limenifundisha mambo mengi sana lakini kubwa ni uwezo wa kufikiri wa mtu mweusi
 
Back
Top Bottom