Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

Sasa kama mmeshindwa kuifunga mbeya city ya algeria mtaotaje kuifunga al hilal mwakani??
 
"Tuna medali, tuna kiatu cha dhahabu cha mfungaji bora Mayele, tuna Man of the match Diara."

Hongeren kwa hayo makombe, pyee pyee pyee fyuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sheria ya hovyo sana kuwahinkutokea kwenye mpira faida ya mgooli ya ugenini ina punguza ball quality ndo maana hata ulaya uefa walilion hilo,

naby nae jana kazongua asee yan unatumia wing back still Winger forwards muda mote wako pembeni [emoji23]upuuzi, mbinu ya wings attacks imemeshinda katengeneza gap la kiungo mmoja katikati, sasa nilitegemea amtoe kati ya job,bacca,mwamnyeto aingie kiungo wa kati mmoja au mmoja wapo kati ya haj watatu acheze kama DM alivo fala kamtoa musonda nikaenda na kulala[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kawaida timu zikishindwaga katika fainali zinakuwa hazina hata hamu ya kuvaa medali za mshindi wa pili. Wengi huwa wakishavalishwa unakuta wanazivua maana siyo walichokuwa wnaapigania. Ukija sisi sasa, asalaleee.....
 
Hii nchi uhuru umezidi sana! Yaani sisi mashabiki wa Yanga kwa kauli moja tumeamua kuipongeza timu yetu baada ya kuridhishwa na kiwango chao msimu huu!!

Cha kushangaza kuna mimbumbumbu inaumia!! Hivi hata ujasiri wa kuchangia kwenye huu uzi sijui yanautoa wapi!!

Imagine msimu mzima timu yao haijaambulia chochote, huku wananchi wakichukua Ngao ya Jamii, Ubingwa ligi kuu, msindi wa pili kombe la shirikisho Barani Africa, na tarehe 12 Juni wanacheza fainali nyingine ya ASFC!!

Kweli Rage anastahili kujengewa mnara wa kumbukumbu.
🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka eti mimbumbumbu...++++++
Ila acha wapoze kukosa vikombe hata vya nyumbani bana..Mimi nawaelewa Sana..
 
Kombe lipo wapi msitubadilishie hoja.
IMG_20230605_004750.jpeg
 
Unajisifu kumfunga USM Alger kwao goli moja ila unasahau kua hata yeye alikufunga kwenu tena goli 2 na ndio goli zilizopelekea yeye kutwaa kombe,

Hii ni sawa na mgonjwa mahututi aliyepo kitandani,kumcheka mtu aliyejikwaa dole gumba.
 
Attachments

  • 1685729833429.jpg
    1685729833429.jpg
    35.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom