Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

Pole

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mmekufa kifo gani vileeeee😅😅😅?
 
Pole

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Unanipa pole ya nini sasa!! Kuumia uumie wewe, halafu pole unipe mimi!

Mimi hapa nilipo, nimejaa furaha tele kutokana na mafanikio makubwa yaliyofikiwa na timu yangu msimu huu.

Vipi kuhusu wewe mwenzangu! Msimu umeisha. Timu yako imevuna nini? Hata medali ya bati tu hamjapata.
 
Pole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya hovyo sana kuwahinkutokea kwenye mpira faida ya mgooli ya ugenini ina punguza ball quality ndo maana hata ulaya uefa walilion hilo,

naby nae jana kazongua asee yan unatumia wing back still Winger forwards muda mote wako pembeni 😂upuuzi, mbinu ya wings attacks imemeshinda katengeneza gap la kiungo mmoja katikati, sasa nilitegemea amtoe kati ya job,bacca,mwamnyeto aingie kiungo wa kati mmoja au mmoja wapo kati ya haj watatu acheze kama DM alivo fala kamtoa musonda nikaenda na kulala😂😂
 
Rage ana mademu wengi sana huko Yanga hamuishi kumtaja taja jinsi anavyowapelekea moto.
 
Sio watanzania wote ni Utopolo mpaka unataka kuwapangia namna ya kufurahi. Tulia kenge Wewe mkitaka kupongezana jikusanyeni kidimbwi.
 
si tulikubaliana hakuna kufa kiume ?

Mimi binafsi matokeo yale nimeyapokea kama alivyoyapokea Karia
Simba hawakufa kiume, Bali walikosa nguvu za kiume.

Mwakarobo.
 

Attachments

  • 1685729833429.jpg
    35.2 KB · Views: 1
 

Attachments

  • 1685729833429.jpg
    35.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…