Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

Sasa kama mmeshindwa kuifunga mbeya city ya algeria mtaotaje kuifunga al hilal mwakani??
 
"Tuna medali, tuna kiatu cha dhahabu cha mfungaji bora Mayele, tuna Man of the match Diara."

Hongeren kwa hayo makombe, pyee pyee pyee fyuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kawaida timu zikishindwaga katika fainali zinakuwa hazina hata hamu ya kuvaa medali za mshindi wa pili. Wengi huwa wakishavalishwa unakuta wanazivua maana siyo walichokuwa wnaapigania. Ukija sisi sasa, asalaleee.....
 
🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka eti mimbumbumbu...++++++
Ila acha wapoze kukosa vikombe hata vya nyumbani bana..Mimi nawaelewa Sana..
 
Unajisifu kumfunga USM Alger kwao goli moja ila unasahau kua hata yeye alikufunga kwenu tena goli 2 na ndio goli zilizopelekea yeye kutwaa kombe,

Hii ni sawa na mgonjwa mahututi aliyepo kitandani,kumcheka mtu aliyejikwaa dole gumba.
 
Attachments

  • 1685729833429.jpg
    35.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…