Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Alimwambia yule mama mjamzito "toka hapa na tumbo tumbo lako" dah kumbe na yeye kipindi hicho alikuwa amekwenda kupandikiza mimba marekani!Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.
Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.
Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Haya "kajenga nyumba ya milioni 700 mwanza, kajenga Mwongozo kigamboni zaidi ya milion 500, na magari ya kifahari haijulikani fedha ndio zile 1.5 Trilioni au ni zipi, MWEZI WA 10 WAKITOKA MADARAKANI kitaeleweka tu