Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.

Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.

Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Alimwambia yule mama mjamzito "toka hapa na tumbo tumbo lako" dah kumbe na yeye kipindi hicho alikuwa amekwenda kupandikiza mimba marekani!

Haya "kajenga nyumba ya milioni 700 mwanza, kajenga Mwongozo kigamboni zaidi ya milion 500, na magari ya kifahari haijulikani fedha ndio zile 1.5 Trilioni au ni zipi, MWEZI WA 10 WAKITOKA MADARAKANI kitaeleweka tu
 
Zile nafasi nasikia zina watu wake maalumu wa kupewa kama wanawake au wazee au vilema au watu wenye elimu kubwa kubwa na sio huyo kijana wa kiume mwenye nguvu zake
Kabudi,Mpango ,Mbatia enzi ya JK kwako wanaonekana walemavu au wazee? Hayo makundi ulyotaja yana nafasi zao kabisa kwenye vyama zile nafasi 10 ni chaguo lake hata akiamua kuwapa ndugu zake tu hakuna wa kumpangia
 
Alimwambia yule mama mjamzito "toka hapa na tumbo tumbo lako" dah kumbe na yeye kipindi hicho alikuwa amekwenda kupandikiza mimba marekani!

Haya "kajenga nyumba ya milioni 700 mwanza, kajenga Mwongozo kigamboni zaidi ya milion 500, na magari ya kifahari haijulikani fedha ndio zile 1.5 Trilioni au ni zipi, MWEZI WA 10 WAKITOKA MADARAKANI kitaeleweka tu

Mwambieni 'Washikaji' zake wa 'Maskani' yake Kuu ya pale 'Beach Kidimbwi' Mbezi Beach kwa Zena wanamsalimia na wanamuulizia kwa sana tu.
 
Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.

Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.

Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Maisha ni kubeti na kubeti ni mara moja,hakujua kama kuna maisha baada ya kazi.
Jamaa hata wasanii wamemkimbia,simba nayo,wachafu fm,domo,kila mtu hana ogopa kuwa sehemu ya jamaa kwa kuwa mwamvuli hana tena.
 
PSU roho ya magufuli. Nimeona kaunda zimemzuia kuingia ndani huyu bwana atakuwa na maisha magumu sana ingawa pesa anayo nyingi tu
PSU wawapo kwenye majukumu hawamuamini mtu yeyote ambaye hayupo kwenye details.
Narudia, yeyote. Hata kama ni psu mwenzao provided hayupo kwenye detail.
Vipi kama ametumwa kuja kudhuru?
 
Hili mlichukulie kwa tahadhari kubwa mno, hii ni sinema iliyotengenezwa na watawala baada ya kuusoma upepo amini nakwambia baba yake akishika dola utamuona katika teuzi na sijui kama atakosa Balozi nina bet????
Nchi gani itamkubali mtu ambaye kaka mkubwa wa dunia kamulezea kuwa ni mtu anayepora haki ya kuishi binadamu wengine?
 
unajua watu wengi wameshindwa kuelewa pale ni kwamba rais akishaingia sehem yoyote haparuhusiwi tena mtu kuingia na ndio maana bwana mdogo alizuiliwa pale kwakua mkuu wa nchi alishaingia
Mbona protocol anazijua vizuri au kusudi.
 
Hapa Bmkubwa anayeyusha tu ili kuondoa dhana ya kwamba anambeba.
Huyu dogo kifua chake ni 'kipana' kimebeba mengi na nzito sana, hawezi kuachwa tuu!

*Watu hawajiulizi, huyu dogo aliyemvuruga Mzee Warioba na tume yake aliwezaje kuwa RC
Warioba, PM na AG mstaafu!
*Alimvuruga EL, JK, K'nana, Marope &Family na hakuna aliyejibu mapigo
*Watu hawajiulizi yale ya Clouds na watu walivyopoteza vyeo vyao
*Hawajiulizi kwanini aliitwa ''Deputy President'' akiogopwa katika ngazi zote isipokuwa moja tu!
* Huyu dogo ana mengi moyoni hawezi kuachwa! akiamua kutopiga mswaki! ni balaa.

Dogo atarudi madarakani soon! msidanganyike na michezo ya kuigiza!
Ukweli mtupu huu!.
 
saa h

Saa hi kawa mtoto yatima, anawaza sana na haamini yanayomkuta, siku hizi kahamia "Nolasko"

'Vitimbi' alivyokuwa akivifanya hapo 'Beach Kidimbwi' Mkuu ngoja tu 'ninyamaze' nisije 'Kumdhalilisha' zaidi 'akachanganyikiwa' na 'Kujiua' tu bure!
 
Mnagombaniana basha na bashite sasa kakupokonya basha ndio maana unabifu naye.Bashite ana kalio nene ndio maana kakupokonya

Ile 'Oparesheni' yako ya Kupigwa 'Bomba' huko 'Kunako' Kwako ilienda vizuri?
 
'Vitimbi' alivyokuwa akivifanya hapo 'Beach Kidimbwi' Mkuu ngoja tu 'ninyamaze' nisije 'Kumdhalilisha' zaidi 'akachanganyikiwa' na 'Kujiua' tu bure!
Kumbe hadi kidimbwi mimi nilijua ni mzee wa capetown fish market na elements tu...
 
Kumbe hadi kidimbwi mimi nilijua ni mzee wa capetown fish market na elements.

Basi hakuna sehemu ambayo ulikuwa piga ua humkosi na Makonda hapendi 'Kubanduka' kama hapo 'Beach Kidimbwi' Mkuu. Ameacha Historia pia.
 
Basi alikuwa anatupia tofouti ili asitambulike, hapo capetown alikuwa member mzuri pia mno. Beach kidimbwi kwa wana eagle 😄
 
Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.

Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.

Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Ahahha,kwenye ile tafrija yako mbona hukuniahtua?
 
Basi alikuwa anatupia tofouti ili asitambulike, hapo capetown alikuwa member mzuri pia mno. Beach kidimbwi kwa wana eagle 😄

Ni ukweli kabisa hapo 'Beach Kidimbwi' karibia 95% ya 'Wagenii' ni hao Watu wa 'Eagle Wing House' japo na siye tusiokuwa tulikuwa tukienda pia.
 
Back
Top Bottom