Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Zamani kulikua na vitu vya thamani ni sawa na pesa......na sasa kuna pesa na vitu vya thamani.
Kwani we unamzungumzia mwanamke yupi kati ya hawa yule alofundwa kwao jinsi ya kua mwanamke au alokua akiiga sifa za mama ake?

Nakujibu wakati huu ni hyo aina ya mwanamke wa pili na ndo huyo unaemzungumzia we ambaee anakupenda na hauna kitu ni huyo namba moja na huyo namba moja atakua ana miaka kuanzia 16-18......

Tofauti na hivo huyo anaesema anakuelewa sio kukuelewa huko unakozania ni labda ameona na kujua Kuna kitu atapata kutoka kwako na si rahisi kama hivo labd kwa kuongea inaweza kua rahis
 

Niambie kilichomfanya Mke wa Potifa amtamani Yusufu ni kitu gani?

Siku zote mtu hutamani kitu asichokuwa nacho.
Wanawake matajiri kamwe hawezi kuvutiwa na wanaume kisa Pesa. Au Mali.

Na kinachowavutia wanawake Kwa Wanaume wenye pesa sio wanaume hao Bali pesa zao.

Hata wanaume wapo wanaovutiwa na Wanawake wenye pesa lakini ni hizo pesa sio hao wanawake.
 
Potifa na Yusuph ni majirani za kina nani?.........mwisho wa siku kila mtu abaki aamini kile anachoamini.....
Lkn hcho ulichoandika Leo nmekipinga asilimia mia
 
Potifa na Yusuph ni majirani za kina nani?.........mwisho wa siku kila mtu abaki aamini kile anachoamini.....
Lkn hcho ulichoandika Leo nmekipinga asilimia mia

Kupingwa ndio kunaleta mjadala watu wanapata Elimu.
Pesa haimfanyi mwanamke awe na tamaa Kwa mwanaume hasa tamaa ya kimwili.

Ndio maana wengi walioolewa Kwa sababu ya pesa hupoteza hami ya tendo la ndoa.

Hapa tunaenda na Tafiti sio suala la mtu kuamini au kutokuamini.

Imani inaweza kukufanya uamini hakuna mji unaoitwa DAR ES SALAAM. Haya hiyo ni imani
 
Heheheheheh
Sisi wenye sura za fundi Maiko tunakomenti wapi
 
Too much maneno.....mashiko 0
 
Mbona tulisha kubaliana hapa kua hawa viumbe hawaeleweki.

Hapa tutajadili na mwisho wa siku tutatoka kapa maana hata na wao hawaelewi ip ni ipi.

Nishawahi zimikiwa na mwanamke mmoja akawa anatuma wa tu na jumbe mbali mbali za mahaba na simu kila saa ,zawadi plus kufuatwa fuatwa kila mara ila nikimuulza kama ka fall anakataa

Nb; niliamua kumzoom makusudi nione atamalizaje.
 

Ni pretender, Wanafiki ndio maana unaona hawaeleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…