Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Eh tunatamani kama nyie na tunawachezea kama mpira na nyie .
Na baada ya mchezo mchafu ukipiga hupokelewi hata na text hujibiwi .
So nyie tu mnatuchezea hata sisi ni maplay girl tukiamua
Unaufunguo wa gari??Ninajitahidi kununua vinguo, nina ndefu nazinyoa vizuri, mrefu kidogo, nasukuma gari za wana lakini mbona sipati hao wanawake sasa.
Acha uongo😊😊
Acha vitisho.
Mtu mzima hatishiwi nyau.
Labda mchezee watoto wanaobalehe.
Mwanamke kama hakupendi tunajua tuu.
Ila ninyi ni ngumu kujua mwanaume anayewapenda. Wengi wenu mnachanganya tamaa zetu na Upendo wetu. Mnashindwa kuelewe
Acha uongo
Ujawahi danganya mademu tena hakuna mtu ambaye unaweza kufix fix wadada wawatu😀😀
Uongo gani sasa.
Mimi katika vitu nashindwa ni kusema uongo.
Umbwa wewe ningeshangaa usingetokea🤣🤣🤣Kumbe mnajua kuwa muonekano ndio unamvutia mtuu lakini mnanikandia hapa hoo mzabzab naangalia tako sana. Sasa sii ndio kinachonivutia.
Alafu wee jamaa mbona kama unawasupport wanadada sanaUmbwa wewe ningeshangaa usingetokea🤣🤣🤣
Yes ninawasapoti sana wadada mmezidi kuwaandama kama vile hawana moyo.Alafu wee jamaa mbona kama unawasupport wanadada sana
Ila wao wanavyotuandama wanaume suruali mara vibamia kwani sis haituumi unadhaniYes ninawasapoti sana wadada mmezidi kuwaandama kama vile hawana moyo.
Unique Flower unasemaje mrembo😅
Inategemea kama una sifa hizo unaumia nini?Ila wao wanavyotuandama wanaume suruali mara vibamia kwani sis haituumi unadhani
Basi na wao pia wachukue kama changamoto waboreshe maisha yao.Inategemea kama una sifa hizo unaumia nini?
Huko ni kusifiwa jinsi ulivyo.
Kibamia ni sifa
Ubahili ni sifa
Mwanaume suruali pia ni sifa.
Chukua kama changamoto kuboresha maisha yako
Usijali ntakutolea na mahali kabisa....siunajua kufua vzuri eehUje tuishi wote Kwa Raha mustarehe
Kumbe unajua kutukana🤣Usijali ntakutolea na mahali kabisa....siunajua kufua vzuri eeh
Najua kweli Leo najizuia kweli kweliKumbe unajua kutukana🤣
Mwite Naye ataitika......Najua kweli Leo najizuia kweli kweli
Siwez nisije chachuka bure.....Unajua brother Glenn au basi ntakwambia kule selfika sa hv sitak ugomvi na mtuMwite Naye ataitika......
Nisawa huyo mzab zab achana naye tushamzoea anatingisha tu kiberiti hakuna cha bomu ama chochoteYes ninawasapoti sana wadada mmezidi kuwaandama kama vile hawana moyo.
Unique Flower unasemaje mrembo😅