Asikudanganye mtu, vitabu ni chakula muhimu sana cha akili

Watu wanaweza dhani ni chai ila kweli kabisa, mie nimejifunza saving kwa ajili tu ya kusoma kitabu LOVE YOURSELF PAY YOURSELF FIRST nimetoa mule mbinu na kuibeba kama ilivyo imefanya kazi na inaendelea kufanya kazi.
Kumbe tupo wengi😃
 
Ongeza na THE RICHEST MAN IN THE BABYLON unakuwa kama muhindi.[emoji1787][emoji1787]
 
Hili kwangu ni tatizo sugu kushika kitabu nisome ,sijui
 
😅😅😅
 
Nilisoma kitabu kinaitwa "Jijenge kimawazo" mwandishi ni Clement Fumbuka,kilikuwa kitabu kizuri sana nani anamjua mwandishi huyu na vitabu alivyoandika upatikanaji wake?
 
Nmeanza kukisoma kina ile Old English ya thee, thy basi mtafutano.....ila nitakisoma
Tumia dictionary inaitwa wordweb au English shwahili dictionary hakuna kitu kimeachwa sometimes kimondo kikinishinda naangalia humo kwenye hzo dictionary.
 
Tumia dictionary inaitwa wordweb au English shwahili dictionary hakuna kitu kimeachwa sometimes kimondo kikinishinda naangalia humo kwenye hzo dictionary.
Thanks, nikikwama huwa naangalia maana zake kwenye (gugu) translate.
 
Kumbe tupo wengi[emoji2]
Mkuu kama una kitabu cha everyday hero manifesto pdf book cha Robbins sharma naomba au yoyote mwenye nacho nakiomba nimekitafuta sana bila mafanikio.
 
Naomba pdf ya kitabu cha everyday hero manifesto cha Robbins Sharma kama unacho.
Hapana ndugu yangu sina, afu hata sijuagi site ya kupata vitabu. Mie huwa naomba tu kwa watu natumiwa.
 
Hapana ndugu yangu sina, afu hata sijuagi site ya kupata vitabu. Mie huwa naomba tu kwa watu natumiwa.
Maana nimekitafuta ebook sijakipata nikidowload Google inaniletea SUMMARY wakati mimi nataka fully ok thanks for your response.
 
Misamiati huwa inanipiga sometime, me mvivu kutafuta tafsiri ya maneno, btw nitajitahidi. Ahsante
 
Jitahidi kusoma na vya Kiswahili ili kuboresha Kiswahili chako.
 
vitabu viuzwe bei ya kawaida afu viandikwe kwa lugha asilia(kiswahili) lasivyo ni mafumbo na sisi hatutaki kuhangaika navyo
 
1-Mlo kamili na bora
2-Elimu
3-Elimu ya kiroho
Hivi ndio vyakula vikuu vya akili,kikikosekana kimojawapo hapo ni shida
 
Mbona wazee wa Kiislam wanakataa, wanasema kukariri Kiarab ndiyo mpango mzima wa maisha
 
Kuna Group la wasomaji wa vitabu whatsapp aliwahi kuweka uzi mtu mmoja humu, nimeutafuta uzi bila mafanikio, mwenye hiyo link naomba anitumue, admin ni Dr LL_mx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…