GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #181
✅🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✅👏👏👏Hivi vitabu hakika vimenisaidia sana. Naomba nanyi mpate kitu pia kupitia hivi vitabu.
1. The richest man in babylon by George S. Clason.
Hiki kilisaidia sana kunikumbusha kuhusu kuweka AKIBA pamoja na mambo mengine ya kiuchumi.
2.The secret to love health and money by Rhonda Byrne
Hiki kilinisaidia sana kuhusu mahusiano, afya pamoja na kiuchumi.
Shukrani sana Kwa ushuhuda Mimi si msomaji sana nimesoma vitabu vichache sana na makala .Sijasoma vitabu vingi sana, lakini alau nimevisoma soma kidogo.
Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne.
Nimeiona faida yake. Kuna faida sana. Ni CHAKULA muhimu sana cha akili, hakika!.
Mara tu baada ya kuianza hiyo tabia, nilijaribu kuwashawishi baadhi ya watu, hasa wasomi, kuiga hiyo tabia. Kuna siku, nafikiri nilikosea, nikaenda kumshawishi mtu aliyenizidi kitaaluma naye awe msomaji. Alichonijibu kilinifanya nisirudi kwake tena kwa sulala hilo. Niliamini, usomaji wa Vitabu ungweza kumwongezea mawazo ya kuboresha shughuli alizokuwa akizifanya.
Siku ya kwanza, pengine alinivumilia, hakunijibu chochote.
Nilipoamua kumpelekea orodha ya vitabu nilivyoamini kuwa vingemfaa, aliishia kunijibu, "hivyo Vitabu havifanyi kazi Tanzania"
Havifanyi kazi Tanzania? How? Kisa tu vilikuwa vimeandikwa na Wazungu? Iweje visifanye kazi Tanzania, wakati vingi ya Vitabu alivyovitumia Chuo Kikuu vilitoka kwa Wazungu?
Namshukuru Mungu sikutetereshwa na kauli yake, ila na mimi sikurudia kumshawishi katika hilo. Niliendelea kujisomea, na sasa imeshakuwa ni tabia yangu.
Nahisi, maarifa niliyoyapata kwa kujisomea mwenyewe vitabu nilivyojichagulia, yamenisaidia zaidia kuzidi maarifa niliyoyapata chuo kikuu.
Vitabu, hasa Vitabu vizuri, haviwezi kukuacha kama ulivyokuwa. Ila ukivisoma "visivyo" salama kwa akili, utakuwa hatarini pia.
Soma vitabu vizuri, hutajutia.
Wanasema, LEADERS ARE READERS!
Soma VITABU, Vitabu vizuri! Vina faidi tele!
Dhamini Vitabu kuliko unavyoldhamini chakula cha kawaida, ni CHAKULA muhimu sana cha akili yako.
Hongera sana mkuu! Ila usije ukaacha kazi kama rafiki yangu😀Shukrani sana Kwa ushuhuda Mimi si msomaji sana nimesoma vitabu vichache sana na makala .
Kwa Sasa napomalizia mwaka huu nasoma vitabu hivi :
1.As a Man Thinks
2.Who will cry when you die
3.Unlock you're potential -Munroe(nakirudia)
4.Principle and power of vision- Munroe (nakirudia)
Hivyo vitabu viwili tu vilibadili mweleko wa maisha yangu nikiwa second year na naishi Kwa asilimia kubwa Yale niliyojifunza humo .Naheshimu sana.
Sipuuzi waandishi wa bongo kama kina :
Denis Mpagaze
Joel Nanauka
Kocha Makirita
Wana mambo mazuri pia ya kujituzna kwao.
Myles ni wamoto ajabu mwandishi hatari sana kati ya niliyowai pitia kazi zao nimesoma kazi zake kama 4 hivi ni moto[emoji95][emoji95]Shukrani sana Kwa ushuhuda Mimi si msomaji sana nimesoma vitabu vichache sana na makala .
Kwa Sasa napomalizia mwaka huu nasoma vitabu hivi :
1.As a Man Thinks
2.Who will cry when you die
3.Unlock you're potential -Munroe(nakirudia)
4.Principle and power of vision- Munroe (nakirudia)
Hivyo vitabu viwili tu vilibadili mweleko wa maisha yangu nikiwa second year na naishi Kwa asilimia kubwa Yale niliyojifunza humo .Naheshimu sana.
Sipuuzi waandishi wa bongo kama kina :
Denis Mpagaze
Joel Nanauka
Kocha Makirita
Wana mambo mazuri pia ya kujituzna kwao.
cc: Vijana wote wa Kiislam wasiopenda kusoma na kukariri vitabu visivyo na tija maishani mwao na Wakristo wote waliopotokaSijasoma vitabu vingi sana, lakini alau nimevisoma soma kidogo.
Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne.
Nimeiona faida yake. Kuna faida sana. Ni CHAKULA muhimu sana cha akili, hakika!.
Mara tu baada ya kuianza hiyo tabia, nilijaribu kuwashawishi baadhi ya watu, hasa wasomi, kuiga hiyo tabia. Kuna siku, nafikiri nilikosea, nikaenda kumshawishi mtu aliyenizidi kitaaluma naye awe msomaji. Alichonijibu kilinifanya nisirudi kwake tena kwa sulala hilo. Niliamini, usomaji wa Vitabu ungweza kumwongezea mawazo ya kuboresha shughuli alizokuwa akizifanya.
Siku ya kwanza, pengine alinivumilia, hakunijibu chochote.
Nilipoamua kumpelekea orodha ya vitabu nilivyoamini kuwa vingemfaa, aliishia kunijibu, "hivyo Vitabu havifanyi kazi Tanzania"
Havifanyi kazi Tanzania? How? Kisa tu vilikuwa vimeandikwa na Wazungu? Iweje visifanye kazi Tanzania, wakati vingi ya Vitabu alivyovitumia Chuo Kikuu vilitoka kwa Wazungu?
Namshukuru Mungu sikutetereshwa na kauli yake, ila na mimi sikurudia kumshawishi katika hilo. Niliendelea kujisomea, na sasa imeshakuwa ni tabia yangu.
Nahisi, maarifa niliyoyapata kwa kujisomea mwenyewe vitabu nilivyojichagulia, yamenisaidia zaidia kuzidi maarifa niliyoyapata chuo kikuu.
Vitabu, hasa Vitabu vizuri, haviwezi kukuacha kama ulivyokuwa. Ila ukivisoma "visivyo" salama kwa akili, utakuwa hatarini pia.
Soma vitabu vizuri, hutajutia.
Wanasema, LEADERS ARE READERS!
Soma VITABU, Vitabu vizuri! Vina faidi tele!
Dhamini Vitabu kuliko unavyoldhamini chakula cha kawaida, ni CHAKULA muhimu sana cha akili yako.
Ukiweza kumfanya muwe mnashindana katika usomaji, utakuwa umemsaidia sana, na yeye anaweza kuwashawishi watoto wenzake bila kujuaHakika yake,
For wonderers and adventurers!
Vitabu vinakusafirisha kiakili utajikuta places na nyakati zisizofikika kabisa.
tuwahimize watoto wetu kusoma ni utamaduni mzuri sana, kuna majibu mengi ya changamoto zetu kwa namna ya tofauti ya kipekee sana, mimi nasoma naye page kwa page, tunaulizana tumejifunza nini? author kafail wapi, kafaulu kufikisha ujumbe gani nk
It sharpens his mind zaidi na zaidi, siyo rahisi kwa sababu ya hizi games na animated series ila tunapambana hivyo hivyo kuna kukasirikiana kabisa lakini tunasonga.

Hongera sana kwa kuwa na tabia ya kusoma vitabu, kwa hakika ni jambo zuri sana. Hata hivyo ili kuwavutia wengine hukutakiwa kuishia kwa kusema "kusoma vitabu kuna faida nyingi" ulitakiwa angalau useme wewe kama wewe vimekufanya uweze kufanya nini ambacho ulikuwa huwezi hapo kabla au vimekusaidia kutoka hatua ipi hadi ipi. Nadhani hii ingekuwa hamasa nzuriSijasoma vitabu vingi sana, lakini alau nimevisoma soma kidogo.
Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne.
Nimeiona faida yake. Kuna faida sana. Ni CHAKULA muhimu sana cha akili, hakika!.
Mara tu baada ya kuianza hiyo tabia, nilijaribu kuwashawishi baadhi ya watu, hasa wasomi, kuiga hiyo tabia. Kuna siku, nafikiri nilikosea, nikaenda kumshawishi mtu aliyenizidi kitaaluma naye awe msomaji. Alichonijibu kilinifanya nisirudi kwake tena kwa sulala hilo. Niliamini, usomaji wa Vitabu ungweza kumwongezea mawazo ya kuboresha shughuli alizokuwa akizifanya.
Siku ya kwanza, pengine alinivumilia, hakunijibu chochote.
Nilipoamua kumpelekea orodha ya vitabu nilivyoamini kuwa vingemfaa, aliishia kunijibu, "hivyo Vitabu havifanyi kazi Tanzania"
Havifanyi kazi Tanzania? How? Kisa tu vilikuwa vimeandikwa na Wazungu? Iweje visifanye kazi Tanzania, wakati vingi ya Vitabu alivyovitumia Chuo Kikuu vilitoka kwa Wazungu?
Namshukuru Mungu sikutetereshwa na kauli yake, ila na mimi sikurudia kumshawishi katika hilo. Niliendelea kujisomea, na sasa imeshakuwa ni tabia yangu.
Nahisi, maarifa niliyoyapata kwa kujisomea mwenyewe vitabu nilivyojichagulia, yamenisaidia zaidia kuzidi maarifa niliyoyapata chuo kikuu.
Vitabu, hasa Vitabu vizuri, haviwezi kukuacha kama ulivyokuwa. Ila ukivisoma "visivyo" salama kwa akili, utakuwa hatarini pia.
Soma vitabu vizuri, hutajutia.
Wanasema, LEADERS ARE READERS!
Soma VITABU, Vitabu vizuri! Vina faidi tele!
Dhamini Vitabu kuliko unavyoldhamini chakula cha kawaida, ni CHAKULA muhimu sana cha akili yako.
Watu wanaweza dhani ni chai ila kweli kabisa, mie nimejifunza saving kwa ajili tu ya kusoma kitabu LOVE YOURSELF PAY YOURSELF FIRST nimetoa mule mbinu na kuibeba kama ilivyo imefanya kazi na inaendelea kufanya kazi.Ukisoma Rich dad poor dad na hicho ulichokitaja unakuwa bahili balaa mi nilinunua kiwanja kwasababu ya vitabu mkuu.
👏👏👏
Natamani tuanzishe club ya wasoma Vitabu! Naelewa unachosema. Naelewa mnooo!!!
🙏🙏🙏Tembelea uzi wa jf bookworms.
Yaani mimi nikiamua nikae nishike kitabu nisome ni 30 seconds tu hamu ya kusoma inaisha hivyo ni kujilazimisha na nikilazimisha utamu siupati vizuri....
Nifanyeje?
Shukran sana mkuu. Nimeshauona. Nitaupitia neno kwa neno.Tembelea uzi wa jf bookworms.
Mbona nishaeleza kwa ufupi kwenye comments za nyuma? Acha niongezee na hii moja:Hongera sana kwa kuwa na tabia ya kusoma vitabu, kwa hakika ni jambo zuri sana. Hata hivyo ili kuwavutia wengine hukutakiwa kuishia kwa kusema "kusoma vitabu kuna faida nyingi" ulitakiwa angalau useme wewe kama wewe vimekufanya uweze kufanya nini ambacho ulikuwa huwezi hapo kabla au vimekusaidia kutoka hatua ipi hadi ipi. Nadhani hii ingekuwa hamasa nzuri