qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Mkoa wa Kilimanjaro kuna waIslam wengi kuliko watu wanavyofikiri.Ukianzia wilaya za Same,Mwanga,Hai na Moshi vijijini na mjini.Kuna Wapare wengi waislam,kuna wamachame wengi waislam,kuna wakibosho wengi tu waislam pia kuna wamarangu wachahe sana waislam ambao wanapatikana maeneo ya Himo na Head quater.Uko wa Mongi una idadi kubwa ya waislam kwa maana ya kujaza msikiti mmoja.Pia ujenzi wa shule za kata na maingiliano ya kibiashara na kijamii kumeongeza idadi ya waumini wa kiislam maeneo ya Marangu.
Daaah ndugu yangu moshi vijijini hapana kule wamejaa wakatoliki na walutheri... Tena nimewahi kukaa pia Kibosho Umbwe kule kijiji kizima waislam hawafiki wa 5 tena wahamiaji wakazi wa pale asili wote ni wakristo... Labda kule kilema, vunjo n.k ambako pia i doubt..
Wapare wengi ndio waislam hasa kuanzia kule Hedaru, Same na Usangi.
