Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

Mkoa wa Kilimanjaro kuna waIslam wengi kuliko watu wanavyofikiri.Ukianzia wilaya za Same,Mwanga,Hai na Moshi vijijini na mjini.Kuna Wapare wengi waislam,kuna wamachame wengi waislam,kuna wakibosho wengi tu waislam pia kuna wamarangu wachahe sana waislam ambao wanapatikana maeneo ya Himo na Head quater.Uko wa Mongi una idadi kubwa ya waislam kwa maana ya kujaza msikiti mmoja.Pia ujenzi wa shule za kata na maingiliano ya kibiashara na kijamii kumeongeza idadi ya waumini wa kiislam maeneo ya Marangu.

Daaah ndugu yangu moshi vijijini hapana kule wamejaa wakatoliki na walutheri... Tena nimewahi kukaa pia Kibosho Umbwe kule kijiji kizima waislam hawafiki wa 5 tena wahamiaji wakazi wa pale asili wote ni wakristo... Labda kule kilema, vunjo n.k ambako pia i doubt..

Wapare wengi ndio waislam hasa kuanzia kule Hedaru, Same na Usangi.
 
Yeah ni kweli mkuu, nimeishi masama few years ago kwa ndugu zangu ni waislam, na maeneo yale wachaga wengi ni waislam hadi kule sokoni masama kuna misikiti.

Ila nilipo wauliza kwanza wenyewe wasema asili yao kabisa sio kule na hata mahadhi yao ni ya kipwani pwani na wengi wao ukichunguza ni wahamiaji.

Ila wilaya ya Hai ndo inaongoza kuwa na waislam hata wachaga wamachame pia nao wengi ni muslim.

sasa kama asili yao si pale, kwanini wawe na majina ya koo za kichagga?
 
most of the muhamadan extremists in tz come from the coast of indian ocean.those of the mainland are educated, nonreligious and moderate in their views.huwa nawakubari sana waislamu wa tz bara.

Mkuu hilo jina lako inaonesha ushafanyiwa sana ule mchezo RASMI wa KIRISTO
 
Daaah ndugu yangu moshi vijijini hapana kule wamejaa wakatoliki na walutheri... Tena nimewahi kukaa pia Kibosho Umbwe kule kijiji kizima waislam hawafiki wa 5 tena wahamiaji wakazi wa pale asili wote ni wakristo... Labda kule kilema, vunjo n.k ambako pia i doubt..

Wapare wengi ndio waislam hasa kuanzia kule Hedaru, Same na Usangi.

Kilema hakuna waislam kabisa
 
sasa kama asili yao si pale, kwanini wawe na majina ya koo za kichagga?

Wame yaadapt tu yale kama wenye surname ya Mwasha, utakuta babu wa babu zao hajawahi kuishi kule nao niliowauliza wanalisema hivyo..

Kama hao ninao waongelea upande wa mama yao ni wakristu ni mchaga wa marangu na alisilimu na kuolewa na Mmasama ambaye anajiita mchaga ila ukoo wake si mrefu kwa pale masama. Ndipo wakanieleza wengi wao pale ni wahamiaji hawana vizazi virefu sanaa ambavyo vina asili ya pale, ila kuoa wa kristu na kuwasilimisha na kuzidi kuzaliana ndiko kulichangia maeneo yale kuwa na waislam wengi.
 
Kilema hakuna waislam kabisa

Yeah inawezekana maana kule sijafika ila huyo aliyesema moshi vijijini kuna muslim wengi ndio nikambishia maana huko wengi ni wakristo.. Maana hata huko Kilema ni moshi rural.
 
Hivi Waafrika tumelaaniwa na nani? Watu mapovu yanawatoka kutukuza rangi na imani za watu wengine. Wapo wengine wameteka mabinti wa ndugu zao ambao ni sawa na binti zao kuonyesha utii wao kwa mabwana zao. Afrika bara langu,kwa nini haya yawapate watu wako? Hizi dini za kigeni ni aina ya dawa za kulevya. Nakubaliana na Karl Max ' religion is an opium'
 
Ni Rehema Kubwa sana za Sub'hanallah Wataallah wamasama walifikiwa na wakaukubali uislam.Kwa Sasa wananchi wa ulaya na marekani wanasilimu kwa wingi kuingia ktk dini ya haki islam.Tuombe na wengine walio ktk kiza kinene wafunguke
 
Hata akina mkwawa walikuwa wanafanya biashara ya utumwa kwa kuwauza mateka wao wa kivita,na hata leo hii biashara ya utumwa ipo na inaendelea sema katika style tofauti tu.
 
Leo napata somo kumbe Wachaga wamewaua sana Waislam kwa sumu naonganisha dot sasa kwa ni Chadema inawachukia Waislam.
Acha kusikia maneno ya Nnape aliyeasi dini ya baba yake uislam maana alizikwa na Kawawa na yeye Nape kuoa kanisani.Chadema haina uhusiano na uchaga.Waliomuua Kolimba Amran-Kombe Malima Kabatalo Mwaibabile Rutihinda Balali ni chadema?
 
Hili Jukwaa lina watu wa hovyo sana! Yaani Mwislamu akiona Mwarabu anatajwa kwa mabaya anakuja juu utafikiri babake! Mkristo na yeye alivyo mtu wa hovyo, akitaka kuzungumzia biashara ya utumwa basi lazima amuhusishé Mwarabu na dini yake huku akisahau Trans-Antlantic Slave Trade ilifanywa na Wazungu Wakristo! Trust me, Christians and Moslems are the most insane communities ever happened in the world history! If I were God, I'd sink these two communities and start afresh!
Hapo umenena mkuu. Huu ni mfano wa CAR lakini haupishani sana na sehemu nyingine! religions.jpg
 
Nenda Musoma, Shinyanga, Karatu, Babati, Tarime, Ukerewe, Makambako, Arusha kwa Wamasai, Makete, kaangalie Wakirsto hawataki shule kabisa.

Mikoa ya Wakirsto walienda shule inajulikana.

Acheni kuwawekea sumu Waislam.

Aisee hapo umedanganya. Kuna umuhimu wa elimu na umuhimu wa maendeleo ya mtu binafsi. Ushawahi muona mkinga kutoka makete asiyejielewa kama watu wa pwani, tabora, kondoa, nk? Wakinga ndio wanaoshikilia biashara za mbeya, dar tunduma nk.
 
Aisee hapo umedanganya. Kuna umuhimu wa elimu na umuhimu wa maendeleo ya mtu binafsi. Ushawahi muona mkinga kutoka makete asiyejielewa kama watu wa pwani, tabora, kondoa, nk? Wakinga ndio wanaoshikilia biashara za mbeya, dar tunduma nk.
ukanda wa pwani ni wawacheza ngoma, kushinda kwenye bao na karata na hata kulima ni wavivu pia.
 
Pasco kwani yule ndugu yake mwingine yuko wapi?
lastly alikuwa BBC. anaitwa Suzan Mongi.

Umechanganya mambo mkuu. Huyo wa BBC aliitwa Suzan Mungi, kina Mungi sio Mongi, kina Mungu sio Wachaga, nadhani ni Wasambaa. Huyo Suzan anaitwa Suzan Lukindo, baada ya kuolewa na Mungi ndio anaitwa Suzan Mungo. Mara ya mwisho alikuwa TBC wakati ikivuma chini ua Tido Mhando.
 
Last edited by a moderator:
qn of sheba unajua mipaka ya moshi vijijini ?.Yamkini mtu akikwambia Moshi vijijini akili yako inagota Marangu,Kilema au Mwika lahasha ngoja nikupe darsa kiduchu.Moshi vijijini ni wilaya kubwa sana kuliko unavyofikiri kwamba Moshi vijijini ni Kilema na Marangu tu.Moshi vijijini inapakana na wilaya ya Rombo kwa upande wa kaskazini,upande wa kusini inapakana na wilaya ya Moshi mjini,upande wa magharibi inapakana na wilaya ya Hai,upande wa inapakana na wilaya Mwanga na nchi ya Kenya.

Nimefanya maksudi kukupatia jiografia ya wilaya ya Moshi vijijini yamkini utarejesha akili yako panapostahili.Ikiwa tunakubaliana kwamba wilaya ya Mwanga ina idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiIslam ni sababu zipi zitazuia idadi ya waumini wa kiislamu kupatikana wilaya ya moshi vijijini hasa maeneo ya mipakani ?.Sababu hizo hizo tunaweza kuzitumia kwa wilaya za Moshi mjini na wilaya ya Hai.Moshi vijijini ina jumla ya kata 31 nitakutajia kata tano ambazo nina hakika utakubaliana na mimi shaka yoyote zina idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiislam.

1. Mabogini.

2. Kahe

3. Kahe mashariki

4. Arusha chini

5. Makuyuni.

Yeah inawezekana maana kule sijafika ila huyo aliyesema moshi vijijini kuna muslim wengi ndio nikambishia maana huko wengi ni wakristo.. Maana hata huko Kilema ni moshi rural.
 
Last edited by a moderator:
kwako wew ni safi coz wanakaribiana na ukafiri, haiwezekani mtu awe muislam alafu awe hana muda na uislam wake, bila shakawatakua safi kwako wew tu, ila kwa uislam sio waislam safi, they should adhere to islam even if watakua wachafu mbele ya mtu kama wew

'And kill them wherever you find them, and turn them out from where they have turned you out. And fitna is worse than killing...'

'Fighting is prescribed for you, and ye dislike it. But it is possible that ye dislike a thing which is good for you, and that ye love a thing which is bad for you. But Allah knoweth, and ye know not'
 
Umechanganya mambo mkuu. Huyo wa BBC aliitwa Suzan Mungi, kina Mungi sio Mongi, kina Mungu sio Wachaga, nadhani ni Wasambaa. Huyo Suzan anaitwa Suzan Lukindo, baada ya kuolewa na Mungi ndio anaitwa Suzan Mungo. Mara ya mwisho alikuwa TBC wakati ikivuma chini ua Tido Mhando.

asante kwa ufafanuzi mkuu.
 
Miafrika ndivyo tulivyo! Mnatoana macho na kutukanana, dini zenyewe ni mapokeo tuu tumeletewa huku africa na wazungu na waarabu.
 
Ni vita gani ilipiganwa kati ya waarabu na wenyeji watanganyka au wazanzibar? Mm najua ni vita kati ya wajerumani/waingereza na wananch tu. Iwapo hawa wajeruman au waingereza unawasifia et kwa kuleta hosp iweje walipata upinzani mkubwa kuliko waarabu?

Kwa hiyo Waafrika waliwapenda sana Waarabu kiasi cha kuridhia kufungwa minyororo na kupigwa mijeredi? Ni kitu cha ajabu sana. Kumbuka kuwa aliyeeandika habari za Waafrika kupigana na wazungu ni wazungu hao hao ambao walikujamiaka mingi baada ya Waarabu. Waarabu hawakundika kitu chochote kuhusu udhalimu wao.
 
Back
Top Bottom