Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
inaboaga sijui na wao wanaborekaga tukiwaomba ππππMwanaume anaombaje hela lakini? Nahisi naweza nikamblock hapo hapo. Uzuri wanajuaga Sina hela sasa wanaanzaje kuniomba [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1][emoji1][emoji1]Nadhani huyu mdau atakuwa anatokea ule mkoa wanakula sana senene
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji848]napenda
Nikupe hongera zako wanawake kama wewe ndio mnapaswa kusherehwkea siku ya wanawake duniani
Nili miss Sana comments za hivi [emoji16][emoji119]Lipia Tangazo
sentensi hii inaonesha wewe ndo unatongoza badala usubiri utongozwe.Hao ambao sio wrong people nawapataje?
Kwa ground sasa [emoji16][emoji119]Mwanaume anaombaje hela lakini? Nahisi naweza nikamblock hapo hapo. Uzuri wanajuaga Sina hela sasa wanaanzaje kuniomba [emoji1][emoji1][emoji1]
Acha mambo yako [emoji16]Ila hela inapendeza kuombwa na mwanamke tu, mwanaume akiomba hela inakata nyg sanaaa
kati ya uongo na ukweli kipi kina nafuuοΌ km vipi na wew kajazie ifike hyo asilimiaDunia inaenda kasi sana,ndio maana kila kijana siku hizi anakwambia mimi sioi,mwanamke anakutamkia kuwa 90 percent ya wanaume alio date nao,hamu ya kuoa hapa itatokea wapi....?
Inaelekea una confdence kimaisha.Kweeema?
Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.
Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.
Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?
Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
serious yani nyegge huwa zinayeyukaAcha mambo yako [emoji16]
Wanaboreka kama hawampendi mtu. Ila wakipenda hata kama hawana wanapambana watoeinaboaga sijui na wao wanaborekaga tukiwaomba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kwa ground ni hivi hivi. Sina hela ya kumpa mwanaume. Ila zawadi utapata vizuri kabisa maana najua nikikupa zawadi hata ya 30k nikiingiza njaa zangu huchomoi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa ground sasa [emoji16][emoji119]
πππRelax mkuuMimi nataka kujua tu hiyo 90% ni kwa wanaume wangapi na hiyo 10% inasimamia wanaume wangapi ki idadi.
isije ikawa watu watatu wakasababisha utazalilishe wanaume wengi humu.
Sijawahi na siwezisentensi hii inaonesha wewe ndo unatongoza badala usubiri utongozwe.
hongera
Si relax inabidi tufanye namna ili usijihisi vibaya namna hii mamii eehπ₯°π₯°πππRelax mkuu
[emoji1][emoji1][emoji1]Hata kwa ground ni hivi hivi. Sina hela ya kumpa mwanaume. Ila zawadi utapata vizuri kabisa maana najua nikikupa zawadi hata ya 30k nikiingiza njaa zangu huchomoi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama.ni watutu , asilimia 9o ni hao wawili huyo mmoja ndo asilimia kumi,πkati ya uongo na ukweli kipi kina nafuuοΌ km vipi na wew kajazie ifike hyo asilimia
Niliambiwaga na mmoja tu tena alitaka nimkopeshe na nikamkopesha japo tulilipana kwa mbinde sana na yeye nilimkopesha sababu alikua ananitoaga na hiyo ni miaka mitano nyuma.[emoji1][emoji1][emoji1]
Bado napinga ujue mzigua napinga kwa sababu mahusiano na yajua , Kuna ile intakes unakutana na mtu the way alivyo Yuko independent sio kitonga very gentle understanding man and Yuko so lovely, , mwepesi wa kujitoa ktk mambo yako na ana support in each and everything , so inatokea siku 1 mtu huyo kakwama then anakuchek anakuambia my queen I have a little problem and I think I need you to help me ,, anakueleza pale then anakuambia umtumie 200k , na wewe unayo na unajua kabisa amesha kusaidia ktk mambo mengi kiushari finance etc ,
Unataka kuniambia in your whole life time Haujawahi kukutana na hiyo scenario na ukatoa msaada wako !??
Aahhh hebu niache kidogo , [emoji16][emoji119] halafu watu Kama nyie ndio huwaga mnatoa kinoma yaani [emoji1][emoji1][emoji1]