Askari afa kwenye ajali ya gari njia ya Chanika. Alikuwa kwenye gari dogo lagongwa na daladala

Ni kweli ajari imetokea gongolamboto mwisho wa lami imehusisha TATA ya kutoka chanika na gari ndogo, japo Sina uhakika na idadi ya vifo au majeruhi lakini Kwa jinsi nilivyoona pale askari walivyojazana huenda kweli kukawa na vifo kwenye gari ndogo
 
Wiki 2 hizi barabara ya Pugu imeua sana. Kama sikosei itakuwa ni ajali ya nne tayari ndani ya mwezi huu.

Kuna traffic alikanyagwa kichwa Gongo la Mboto baada ya kusukumwa na gari akiwa amekaa kwenye Pikipiki.

Kuna gari ya Mkaa iliipanda IST na Bajaj maeneo ya Mombasa.

Kuna mtembea kwa miguu katunguliwa na daladala maeneo ya Mfugale

Leo OCD.
 
Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu)

Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye cheo kikubwa. Tetesi zinasema ni OCD wa Chanika..

Alie toa taarifa anasema ameshindwa kupiga picha kwa sababu askari walio jaa eneo la tukio walikuwa wanazuia watu kupiga picha.

Inna Lilahi.....
Tuone picha
 
Chanika ina OCD??? NI WILAYA HIYO??
KWELI TUNAGAWANA VYEO?
 
Wiki 2 hizi barabara ya Pugu imeua sana. Kama sikosei itakuwa ni ajali ya nne tayari ndani ya mwezi huu.

Kuna traffic alikanyagwa kichwa Gongo la Mboto baada ya kusukumwa na gari akiwa amekaa kwenye Pikipiki.

Kuna gari ya Mkaa iliipanda IST na Bajaj maeneo ya Mombasa.

Kuna mtembea kwa miguu katunguliwa na daladala maeneo ya Mfugale

Leo OCD.
Duh inasikitisha sana
 
Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu)

Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye cheo kikubwa. Tetesi zinasema ni OCD wa Chanika..

Alie toa taarifa anasema ameshindwa kupiga picha kwa sababu askari walio jaa eneo la tukio walikuwa wanazuia watu kupiga picha.

Inna Lilahi.....
1742199647940.png
 
Back
Top Bottom