Kwa hiyo unasemaje? Anayeamini punda tumuache, anayeamini ng'ombe tumuache, anayeamini kuku, tumsikilize, anayeamini uchawi tumwelewe, Kila anayeamini tumuache na anachoamini? Basi wewe huna Imani na kama unayo una uhakika si Sahihi, laiti ungekua Imani Yako ni Sahihi usingekaa kimya Bali ungejaribu kuelekeza kwenye Imani yako unayoamini ni Sahihi, huku ukiamini hayo ni maamrisho yaliyo sawa na ni ya mungu (Allah) lakini kusema Kila mtu ana Imani yake ni sawa, ila si Kila Imani Iko sawa.Mkuu Kila mtu ana Imani yake Mimi naamini Yote ni kazi ya Mungu, mwingine anaamini karma na mwingine haamini vyovyote kati ya hivyo