Yepi? Acha kukurupuka.Wapi huyo
Wapi allah kasema hayo?
Kasema kila nafsi itaonja umauti, wapi kasema nafsi itakufa sababu ya mabaya ya mtu?
Hebu acheni hizi fix za kidini, mnaanzisha makusudi mradi watu waparurane tu, huu uji ga wa udini mnatengeneza sumu mbaya sana, leo tunacheka, lakini vizazi vijavyo vinaweza kuwa paka na chui.. Mnauendekeza udini mtandaoni,pengine ni kwa mashihara ama dhihaka ila kesho utakuwa mtaani ambayo ni hatua mbaya sana.
Mambo ya ajali na kuonewa wapi na wapi wewe, jikite kwenye madaAskari polisi (TanPol) waache kuonea watu.
Karma ipo na haihongeki.
Tenda haki.
Ndo tunawaita waje kwa Allah, sio Karma, Karma ni nini? Na je Karma ni lugha gani?sasa allah si anakuhusu wewe na jamii yako?wengine ha deal na allah
Mimi zitalaumiwa barabara n.k ila nasema siku ambayo madreva watakuwa wastaraabu na wafata sheria basi hakutakuwa na ajali yoyote ya barabarani labda Chache mno za ubovu wa chombo na hali ya hewaIla asilimia kubwa ya madereva bongo miyayusho sana hata sisi tusiojua A wala Be ya Magari tunaambua kabisa makosa! Jana tu kanisani kwetu tulipigwa pindi la usalama barabarani
Apumzike kwa amani
Duh dar madereva miyeyusho sanaWiki 2 hizi barabara ya Pugu imeua sana. Kama sikosei itakuwa ni ajali ya nne tayari ndani ya mwezi huu.
Kuna traffic alikanyagwa kichwa Gongo la Mboto baada ya kusukumwa na gari akiwa amekaa kwenye Pikipiki.
Kuna gari ya Mkaa iliipanda IST na Bajaj maeneo ya Mombasa.
Kuna mtembea kwa miguu katunguliwa na daladala maeneo ya Mfugale
Leo OCD.
Sadala mume wake unamfahamu!Duh so kama imetengenezwa?
Ni ajabu ni amini alafu nisijue ukweli wa Imani yangu, Karma ni nini?Wewe una uhakika gani kuwa imani yako ni sahihi!? Acheni kila mmoja aamini anachoamini as long as haingilii imani wala uhuru wako.
Asante mkuu nimesoma uzi wote,nimepata la kujifunza,karma is real.Soma #89
Subir nawe ufe ajalini watu watasema ni Karma kumbe upumbavuAsante mkuu nimesoma uzi wote,nimepata la kujifunza,karma is real.
Watu wanashusha comment tu ila dereva ana mtiti ambao atahangaika nao muda mrefu sana, ingekuwa bahati mbaya sawa, ila sasa kamfuata mwenyewe, hilo kosa la traffick na kusababisha kifoHuyu dereva wa dala dala kazi anayo...
Amevunjika mkono,alikuwa na chiko kwenye gari mojaSadala ndo Nani?
Barabara nazo pia sio rafiki. Ujenzi unaendelea kiholela, barrier za zege kila sehemu, gari nazo zipite humo humo.Duh dar madereva miyeyusho sana