residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Ujumbe umeupata "poti".Acha visasi na makasiriko . Taarifa ni Askari kafa wewe unaleta habari za karma 😡😡😡.
Kwamba wewe ni msafi Sana au karma ni kwa Askari tu
Kifo ni kifo lakini vifo vingine tunavitengeneza wenyewe kwa matendo yetu.