princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Naunga mkono hoja..Mimi zitalaumiwa barabara n.k ila nasema siku ambayo madreva watakuwa wastaraabu na wafata sheria basi hakutakuwa na ajali yoyote ya barabarani labda Chache mno za ubovu wa chombo na hali ya hewa
Yani kwa sisi waoga barabarani huwa tunagundua makosa mengi mno ya madereva halafu unaona wenzio wametulia tu hawashtuki... unakuta mtu anakimbiza chombo bila kujali kuna vya kufeli