Askari afa kwenye ajali ya gari njia ya Chanika. Alikuwa kwenye gari dogo lagongwa na daladala

Askari afa kwenye ajali ya gari njia ya Chanika. Alikuwa kwenye gari dogo lagongwa na daladala

Hii ajali nahisi imetokea Mwisho wa lami hapo Jeshini Wanakomalizia Ujenzi wa Mwendo Kasi Kuna foleni sana apo Asubui Hizo Gari Aina ya TATA za Chanika to M/complex zinakimbia balaaa na Huwa Hazisimami Hovyo na Abiria wa Chanika ndio tunazipenda kuliko hizi Coaster Ila hawa madereva Wajitafakari Speed zao ni kubwa tena Wana tabia ya Kukimbizana
Lakini bado umekiri nyie abiria ndo mnazipenda, hapo hapo unawaambia madereva wajitafakari 🤔
 
Wapi huyo
Karma inasingiziwa tu, watu wanamkwepa Allah kwa sababu Allah ana maamrisho kaamrisha hawataki kuyafata, na Kuna makatazo kakataza hawataki kuacha, ndo wamerukia eti Kuna karma, karma hiyo au huyo hana amri Wala hana anachokataza Bali yeye ni wakulipia watu visasi tu, Upuuzi, Anayeendesha Dunia na mambo yote ni Allah na tumeletwa Ili tuabudu tu, mengine ni kutafta rizki tu hukubali subiri utaona kwa macho Yako mwenyewe
Wapi allah kasema hayo?

Kasema kila nafsi itaonja umauti, wapi kasema nafsi itakufa sababu ya mabaya ya mtu?
Hebu acheni hizi fix za kidini, mnaanzisha makusudi mradi watu waparurane tu, huu uji ga wa udini mnatengeneza sumu mbaya sana, leo tunacheka, lakini vizazi vijavyo vinaweza kuwa paka na chui.. Mnauendekeza udini mtandaoni,pengine ni kwa mashihara ama dhihaka ila kesho utakuwa mtaani ambayo ni hatua mbaya sana.
 
Hii ajali nahisi imetokea Mwisho wa lami hapo Jeshini Wanakomalizia Ujenzi wa Mwendo Kasi Kuna foleni sana apo Asubui Hizo Gari Aina ya TATA za Chanika to M/complex zinakimbia balaaa na Huwa Hazisimami Hovyo na Abiria wa Chanika ndio tunazipenda kuliko hizi Coaster Ila hawa madereva Wajitafakari Speed zao ni kubwa tena Wana tabia ya Kukimbizana
Wapimwe akili ....

Ova
 
Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu)

Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye cheo kikubwa. Tetesi zinasema ni OCD wa Chanika..

Alie toa taarifa anasema ameshindwa kupiga picha kwa sababu askari walio jaa eneo la tukio walikuwa wanazuia watu kupiga picha.

Inna Lilahi.....
 

Attachments

  • IMG-20250317-WA0022.jpg
    IMG-20250317-WA0022.jpg
    82.2 KB · Views: 22
apumzike anakostahili babaake alikuaga RPC zamani mzee mohamed Chiko nadhani mara ya mwisho alikuwa RPC kilimanjaro miaka ya nyuma mzee alikua mtu wa fronti yaani full ujambazi alikuwa mpaka anamiliki mabasi na alikua wale wazee maborn town anavaa mpaka pullen hereni sikio moja , ni mtu wa kaliba kama za kina Abdul Cisko Mtiro mnikulu wa zamani ,watoto wa alfu mbili hamtaelewa kitu. Jamaa hawa mahusiano yao na wananchi sio mazuri kabisa ndiomana hata mimi huwaga nawaombea njaa tuuuuu.
Yeye marehemu alikuwa mkuu wa kituo Cha polisi chanika (OCS) Hapa ndio naanza kuelewa namna vyeo vinavyogawanywa nchi ya giningi.
 
RIP afande
 

Attachments

  • IMG-20250317-WA0013.jpg
    IMG-20250317-WA0013.jpg
    45 KB · Views: 19
Ila asilimia kubwa ya madereva bongo miyayusho sana hata sisi tusiojua A wala Be ya Magari tunaambua kabisa makosa! Jana tu kanisani kwetu tulipigwa pindi la usalama barabarani

Apumzike kwa amani
Unasali wapi na kanisa gani mpendwa? 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Kuna afande mmoja mwenye jina la Awadh alikuwa anaogopwa sana na madereva mpaka wa mwendokasi je ni yeye?
 
Zubeda Sadala,ni mwanamke aliyekuwa ndani ya gari la Marehemu.

Chiko mke wake anauliza Sadala ni nani?
Nchi imekuwa ngumu hii,kupita maelezo.
 
Kifo siyo karma ingekua ni karma basi wewe ungeweza kukikwepa kikawakuta wabaya wako tu, lakini mbona kinapita na wabaya wako na wewe kinakurudia? Au ndo itakua Karma kwasababu umecheka kifo cha mwenzako
Kweli kabisa pia kifo siyo adhabu
 
Acha visasi na makasiriko . Taarifa ni Askari kafa wewe unaleta habari za karma 😡😡😡.
Kwamba wewe ni msafi Sana au karma ni kwa Askari tu
Kwa hiyo watu wengine ambao siyo askari na wamekufa ni karma!Ngoja tuendelee kuwa watakatifu tuishi milele
 
Back
Top Bottom