Askari afa kwenye ajali ya gari njia ya Chanika. Alikuwa kwenye gari dogo lagongwa na daladala

Askari afa kwenye ajali ya gari njia ya Chanika. Alikuwa kwenye gari dogo lagongwa na daladala

Ila kwa uzoefu wangu hizi gari haswa stk, pt nk sio poa huwa zinakimbia balaa Yan mimi kama Niko mdogo mdogo Nikimuona kwa side mirror nampa apite tu no way out
Taarifa inasema ocd alikuwa amepaki pembeni

Ova
 
Hakuna jeshi imara na hodari kama jeshi letu,ni dhahiri alikuwa kazini. Apumuzike kwa amani.
 
Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu)

Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye cheo kikubwa. Tetesi zinasema ni OCD wa Chanika..

Alie toa taarifa anasema ameshindwa kupiga picha kwa sababu askari walio jaa eneo la tukio walikuwa wanazuia watu kupiga picha.

Inna Lilahi.....
Pole sana sana familia ya OCD

Hili sijui ni lile eneo la Jeshini kituo kipya? maana ndiyo palikuwa na vurugu karibu wiki hii yote asubuhi.Yaana watu wanashuka kilama wakiwa wametanua na ni spidi.kwa hiyo mtu anayetoka gongolamboto asipoqngalia either wanablock au anagongwa kabisa.kuna kifoleni cha hovyo kinachochangiwa na pale wanapomalizia barabara ya mwendo kasi inyotoka mjini.dala dala hawakai foleni.Askari pia wanachelewa sana kufika au wamepasahau wao wanabaki gongolamboto mwisho.Kuna siku wanajeshi walisaidia sana pale.Ila nao wakapotea zao hapo tena.Wakiandikiwa madaladala watano pale watakaa foleni tuu wenyewe
 
Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu)

Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye cheo kikubwa. Tetesi zinasema ni OCD wa Chanika..

Alie toa taarifa anasema ameshindwa kupiga picha kwa sababu askari walio jaa eneo la tukio walikuwa wanazuia watu kupiga picha.

Inna Lilahi.....
Shot on target 🎯
 
Karma inasingiziwa tu, watu wanamkwepa Allah kwa sababu Allah ana maamrisho kaamrisha hawataki kuyafata, na Kuna makatazo kakataza hawataki kuacha, ndo wamerukia eti Kuna karma, karma hiyo au huyo hana amri Wala hana anachokataza Bali yeye ni wakulipia watu visasi tu, Upuuzi, Anayeendesha Dunia na mambo yote ni Allah na tumeletwa Ili tuabudu tu, mengine ni kutafta rizki tu hukubali subiri utaona kwa macho Yako mwenyewe
Mkuu Kila mtu ana Imani yake Mimi naamini Yote ni kazi ya Mungu, mwingine anaamini karma na mwingine haamini vyovyote kati ya hivyo
 
Kuna vitu sivielewagi juu ya hadhi ya maeneo mbalimbali kwa vitengo na mashirika mbalimbali ya serikali;
1. Mikoa na wilaya za kipolisi
2. Mikoa na wilaya za kitanesco
3. Mikoa na wilaya za kitamisemi
4. Kanda za kimahakama
Naomba kueleweshwa
etc
Hata mimi binafsi kwenye kampuni na projects zangu Nina mikoa yangu na wilaya zangu ambazo nimezi create ili kunirahisishia utendaji kazi.
 
Back
Top Bottom