Askari anayetuhumiwa kuingiliwa asomewa mashtaka, akana sio yeye kwenye video

Askari anayetuhumiwa kuingiliwa asomewa mashtaka, akana sio yeye kwenye video

ALIYEKUWA Askari Polisi FFU, Ramadhani Hassan Ali maarufu Afande Rama, amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga, kujibu mashtaka mawili yanayomkabili.

Mbele ya Hakimu Khamis Ali Simai, Mwendesha Mashtaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, Muhammed Saleh, alidai mahakamani kuwa mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kufanya maudhi makubwa ya kingono.

Alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mapema Machi mwaka huu, kitendo ambacho ni kosa kwa mujibu wa Sheria za Zanzibar.

Mshtakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza akitokea mahabusu ya polisi bila ya wakili wa kumsimamia.

Shtaka hilo limeahirishwa hadi Aprili 4, mwaka huu na mshtakiwa amepelekwa mahabusu huku upande wa mashtaka ukidai unaendelea na upelelezi.

Ilidaiwa kuwa askari huyo alijihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile huku video fupi inayoonesha tukio hilo ikisambaa mtandaoni.

Hivi karibuni, Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad, alisema askari huyo alishapandishwa kwenye mahakama ya kijeshi kutokana na tuhuma hizo ambazo ni kinyume na mwongozo na kanuni za kiutendaji wa jeshi hilo (PGO).

NIPASHE
Sasa partner alimfanya yuko wapi
 
waungwana tunaulizana, mwenzie yuko wapi?......au ni "ntu nkubwa" system imeamua kumlinda?.
 
Gerezani mashoga huwa hawachangamani na wafungwa wengine. Huwekwa selo ya peke yao.
Ila mapong'oo wakihitaji lao ataundiwa tume watakula mzigo.
 
Bado nawaza alifanyaje mafunzo ya FFU ya kiume.
Kuna mwana mzenji alinambia jamaa walimroga kutokana na kuchezea watoto wa watu. Kuna sayansi unatupiwa jini la ushoga. Pemba jini hata 200 unapata na bado unaweza kulia kupata punguzo.
 
Inashangaza Kuna watu wanaona kero akifanya hivyo vitendo huku nje lakini ni sawa wakifanya huko jela. Hamjui wakitoka jela wanaleta huo uhuni huku uraiani. Hizo tabia zipingwe hata huko jela.
 
Na tumechefukwa kweli aisee hivi kweli mwanamume anaingiliwa mlango wa nyuma huku jicho anarembua tena kavaa shanga na kikuku na anaguna kabisa invyopenya.

Hivi mkuu kwa kesi kama hii mahakama ya nini? Ni kumtupa ndani akawe mwali kwa wahuni
Ni shida aisee ila kwa sababu ndio mfumo wa hukumu huo,hakuna namna
 
Hadi tumbo linnauma nikimuwaza yule afande
Sasa amewaoa wa nn kama sio kuwatesa wanawake wa watu
Nliitumiwa hii video nliangalia sikuimaliza bikaifuta huku nliiomba mwenyewe nitumiwe, jamaa akaniuliza unauhakika unaitaka video nikamwambia yes. Hata sikuimaliza
 
Hadi tumbo linnauma nikimuwaza yule afande
Sasa amewaoa wa nn kama sio kuwatesa wanawake wa watu
Wakimfunga sijui watamweka gereza la akinamama ama la wanaume. Yule anasimamisha wakimweka la wanawake atatoka magoti hayatembei, wakimweka la wanaume ndo itakuwa kama asusa
 
Wakimfunga sijui watamweka gereza la akinamama ama la wanaume. Yule anasimamisha wakimweka la wanawake atatoka magoti hayatembei, wakimweka la wanaume ndo itakuwa kama asusa
Jaman na ww una maneno🙆‍♂️
Kuna mdau alisema hapa jf kwamba huwa wana gereza lao na huwa wanachungwa sana
 
Back
Top Bottom