Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

Afai kuwa askari police wakamfiche chuoni cccp moshi akapambane na kuruta. Kwingine akumfai
 
pamoja na kwamba Afande IGP hakulihandle vizuri swala la huyu askari lakini pia huyu askari anaonekana anashida mahari
Huwezi kugombana na askari wenzako na mpaka mkuu wa jeshi kabisa ukagombana nae pia huwezi kuongea kila kitu Cha jeshi kwa majeshi mengine yaani unawaamini usalama wa taifa pasipo kumuamini aliekuajiri,tena unaenda kumchomea kwa rais kabisa na tena ni askari wa cheo kidogo Cha chini kabisa haifai kabisa
 
Ndo maana jamaa angu anapiga harakati za kuacha hiyo kazi
 
Anatoa siri za jeshi, watasema police kamuunguza hadi IGP kuwa alikuwa hapendezwi na uyu askari kufichua waovu, ila kwa yote km askari mwenzao wanamfanya hivi aishi kwa mashaka, he sisi RAIA wa kawaida tuna lipi LA kujijitea,

Police wana kashfa nyingi sana na nzito wajitafakar, LA sivyo watakuwa hawaaminiki kwa wanachi
 
Ila polisi sikio la dawa, hawajifunzi kwa yaliyotokea Mtwara...
 
pamoja na kwamba Afande IGP hakulihandle vizuri swala la huyu askari lakini pia huyu askari anaonekana anashida mahari
Huwezi kugombana na askari wenzako na mpaka mkuu wa jeshi kabisa ukagombana nae pia huwezi kuongea kila kitu Cha jeshi kwa majeshi mengine yaani unawaamini usalama wa taifa pasipo kumuamini aliekuajiri,tena unaenda kumchomea kwa rais kabisa na tena ni askari wa cheo kidogo Cha chini kabisa haifai kabisa
Thats where WORK FORCE DIVERSITY FALLS, Ukiwa Kiongozi watu wa aina hii kwa taasisi kubwa hawawezi kukosekana. Kilichoshindikana hapa ni weledi wa Kiutawala ndani ya Jeshi otherwise huyu Jamaaa ni Jembe sana, Jeshi lingeweza kumpa Kazi huko Madawa ya Kulevya, Bandarini, Reli, Airport, nk nk kama waliona Behaviour ya GD ameishindwa. Pole nyingi sana kwa Mzalendo huyu
 
Yes ,huyu askari anapiga sana kazi lakini shida yake kubwa ni anaropoka sana yaani Hana break Kuna walaka wake nilisoma unaosema IGP anataka kumuua ,Sasa unajifikilia ivi kweli wewe kama askari unaeda kuongea hadharani kwamba mkuu wa jeshi alieaminiwa na rais anataka kumuua kisa rushwa kweli ,nikijuacho mimi askari yeyote yule anafanya kazi kwa maelekezo ya viongozi wae Wala hajipangi kazi na hata akikama kitu jeshi ndio linabidi li ongee kwa niaba yake sio wewe unaropoka ropoka tu then unamlalamikia vyeo ,vyeo ivi kweli vyeo nivyakulalamikia kiasi kwamba ukosane na muajiri wako ,na ndio maana nikasema askari huyo anawalakini kidogo ,afu IGP ndio ana mandate ya kufukuza Askari wa cheo Kama chake Sasa IGP sio mjinga kiasi icho mpka aamue kutoa maelekezo ya kufukuzwa kwa askari huyo bila kosa lolote na wakati anajua Malalamiko ya uyo askari yalishamfikia mpka mkuu wa inchi pamoja na waziri mkuu
 
Ngoja aje mtaani kisha aende dukani akaonyeshe vyeti na tuzo alizopewa za uaminifu aone kama atapewa hata unga wa uji wa mwanae, dukani ni pesa sio vyeti akapambe sebuleni kwake
 
Back
Top Bottom