[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asa kwann nisicheke hicho kiepe alikuwa anapeleka wapi sasa ..
Afande kala mzigo, akaiba kiepe akatia kwenye begi, akaiba na simu akaondoka sasa afande alitaka nini hasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asa kwann nisicheke hicho kiepe alikuwa anapeleka wapi sasa ..
Sasa Mkuu, kama una story tofauti na ilivyoripotiwa, si tuambie tu.....usiwe just defensive...Mpaka sasa tunachojua na kilichoripotiwa ni kuwa Marehemu ni mtu wa Bukoba , alitaka kusepa na simu ya demu, aliondoka na Chips (sijui kavu au na Mayai), alikuwa na bia, pia na radio call na kibegi, na aliruka ukuta. Sasa njoo na data tofauti na hapo, au na story tofauti na hiyo. Kusema tunaijua Mrina au hatuijui...kwa sasa haisaidii kitu....Hyo mrina unaijua vizuri anaruka anaelekea wap?
We umeenda kulala na Malaya alafu unatoka wewe kwanza muudumu aende kuhakiki chumba?
Kifupi Hilo eneo n maarufu kwa Biashara ya pombe na ngono hvyo wanawake wengi hununua vyumba kwasiku au wiki wengine Hadi mwez na hapo panakuwa Kama ndio ofisini kwao hvyo mteja huanza kutoka na kumuacha mwenyeji huo n utaratibu uliozoeleka kingine hata huyo Askari huenda wanamjua na kingine huenda huyo jamaa alikuwa Doria eneo Hilo na Kama n hvyo huwa anakuwa na wenzie.
Vyovyote unavyofikiri n sawa Ila ukijiongeza kidogo lazima utakuta Kuna kitu kulikuwa kinaenda isivyo kawaida either kwa huyo dada alielala na marehemu au marehemu mwenyewe.
Kingine jiulize kulikuwa na ulazima gani kusema Askari alichukua simu Mara katoka na chips Mara bia na karuka ukuta kwann wadingetumia lugha nyepesi na rahisi kuwa marehemu alikuwa amelewa chakari na alishindwa kujitambua mpaka mauti yanamkuta
Afande alikuwa ni Mwizi na Mzinzi Mbobezi.......Afande kala mzigo, akaiba kiepe akatia kwenye begi, akaiba na simu akaondoka sasa afande alitaka nini hasa?
Kwa hiyo hakula Mzigo? Hakuiba simu? Hakuondoka na Chips ? Hakuruka Ukuta? Hakwenda na yule demu pale Guest??? Usitoe statement nyepesi nyepesi hivyo...Kuna upishi wa stori nyuma ya kifo cha afande ila kwakuwa wafanya uchunguzi ni polisi wenzje ukweli utajulikana tu, tujipe muda na kutunza maneno.
Mkuu ushawai kupanga chumba gest? Mimi ndie niliepanga gest nimeipata dhalula naondoka nini tatizo? Na ndio maana nimekwambia kama hizi gest zetu zingekuwa na usumbufu huo unaousema hawa Malaya wasingeweza kumuibia mtu yoyoteAliingia na uniform? Kaa ukijua si mhudumu wala huyo muuza k aliyejua marehemu ana kazi gani na wa wapi? Wamejua baada ya kupekua begi na kukuta documents za upolisi! Asa kwani yasingemkuta hayo hakuna ambaye angejua.
Ukiona ujalipia umelala umelala mpaka usiku wa manane na jina umeandikisha basi wewe ni mwenyeji akuna tatizo hapo watupe sababu nyingine sio hiyoLabda alikuwa hajalipia room
Najiuliza wamejuaje kwamba alikuwa anamtoroka mwanamke!??
Je huyu marehemu alimwambia mtu kuwa nipo na demu nakula show, ila nikimalizana nae nitamtoroka!??
Pia kwa maaskari wetu walivyo wababe sidhani kama angehitajika kuruka geti, pale ilikuwa anakwenda kumface mlinzi na kumuamuru amfungulie hata ikibidi angejitambulisha,, mlinzi asingegoma asilani
Kuna utata ktk hili
Kwanza guest mtu unaingia na kutoka anytime na no one to question you.Sasa ilikuwaje akaamua kuruka? Au ndo siku ilikuwa imefika?
Aisee tuoe kuepuka zinaa na vifo kama hivi daah
Aibu. Mskin kama ameoa atakuwa ameitia familia yake aibu na hasara bila sababu ya msingi.Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa.
Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya saa sita usiku akiwa na mwanamke mmoja ambaye jina lake hakufahamka mara moja .
Aliieleza kuwa marehemu aliandikisha katika kitabu cha wageni na kupewa chumba namba tano na kisha kuingia katika chumba hicho akiwa na mwanamke huyo, kibegi kidogo cha mgongoni na radio ya mawasiliano aliyokuwa ameshika mkononi.
Alisema majira ya saa 9 usiku askari huyo alitoka ndani ya chumba hicho na kumwacha mwanamke huyo akiwa amelala fofofo. Aliendelea kudai kuwa marehemu alikwenda nyuma ya nyumba hiyo na kuruka geti la nyumba hiyo akiwa na lengo la kumtoroka mwanamke huyo, ndipo alipoangukia kichwa na kuchomwa na kitu chenye ncha kali kichwani.
Taarifa zinadai kwamba baada ya mlinzi kusikia kishindo alienda katika geti hilo na kumkuta askari huyo akiwa ameanguka chini akivuja damu nyingi kwenye paji la uso na kutoa taarifa polisi ambapo majira ya alfajiri polisi wenzake walifika na kukuta amepotez maisha.
Hata hivyo baada ya askari polisi kufika walipekua begi la marehemu na kukuta chupa ya bia moja,chips ,radio ya mawasiliano simu mbili ikiwemo ya huyo mwanamke pamoja na vitu vingine.
Jitihada za kumtafuta kamanda wa polisi mkoani hapa ,Justin Masejo ili kuzungumzia tukio hilo ziligonga mwamba mara baada ya simu yake ya mkononi kuita kwa muda mrefu bila kutopokelewa.
Mwili wa marehemu Stewart unatarajiwa kusafirishwa kwenda kwao Bukoba kwa ajili ya maziko, baada ya kufanyiwa uchunguzi.
Mwenyezi mungu alilaze mahala pema peponi roho ya marehemu Stewart, Amen!
Ipo jombaaHiyo force number ya jeshi gani la polisi.? Kama ni Tanzania hii hamna force number ya dizaini hiyo nadhan.
Kifo ndiyo kimemuumbua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo wife anaona anajaliwa saaaana, kumbe kuna mtu kaachiwa manyoya
Zaidi ya kufa yani mpka kiepe mbaya sanaAfande kala mzigo, akaiba kiepe akatia kwenye begi, akaiba na simu akaondoka sasa afande alitaka nini hasa?
Yah kuna shida mara nying ukiandika jina lazma ulipe kwanza ndio ukalale....Ukiona ujalipia umelala umelala mpaka usiku wa manane na jina umeandikisha basi wewe ni mwenyeji akuna tatizo hapo watupe sababu nyingine sio hiyo