Kategele
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,055
- 2,466
Na chips alikuwa na kazi nazo??Labda alikuwa kazini, hata hyo simu aloiba alikuwa anakazi nayo...
Labda lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na chips alikuwa na kazi nazo??Labda alikuwa kazini, hata hyo simu aloiba alikuwa anakazi nayo...
Labda lakini.
Aliingia na uniform? Kaa ukijua si mhudumu wala huyo muuza k aliyejua marehemu ana kazi gani na wa wapi? Wamejua baada ya kupekua begi na kukuta documents za upolisi! Asa kwani yasingemkuta hayo hakuna ambaye angejua.Kwanini asitambulike wakati amepanga chumba na jina ameandikisha? Kumbuka aliepanga chumba ni Mwanaume na sio Mwanamke hata kama aliongopa jina wahudumu waliona Askari polisi ameingia na Mwanamke
Labda alikuwa hajalipia roomMbona haileti maana guest house ili uandikishe jina unalipia kabisa chumba, kwahiyo kutoka unatoka muda wowote tu bila kuzuiwa sasa Kama alishatoka ndani kashindwaje kupitia getin had aruke ukuta mbona Ni kitu ambacho hakiwezekani, labda kama ipo sababu nyingine ya kutokutokea getin hapo lakin siyo hiyo ya kutaka kumtoroka mwanamke
Kaingia na mwanamkeHata hivyo baada ya askari polisi kufika walipekua begi la marehemu na kukuta chupa ya bia moja,chips ,radio ya mawasiliano simu mbili ikiwemo ya huyo mwanamke pamoja na vitu vingine.
Huwezi kulala bila kulipiaLabda alikuwa hajalipia room
Zipo Lodge ukiwapatia sababu kwamba nitalipa badae wanakubali. Ila huwezi kutoka hadi ulipeHuwezi kulala bila kulipia
Tutunze maneno, kuna njama za mauaji nyuma ya hilo tukio.Askari amedhulumu K...ukute ndo michezo yake Mungu kamuumbua tu. Na ukute hata room hakulipia shenzy type. Marehemu hakuwa muungwana
Nilipokuwa na umri km wako nirifikiri hivyo km wewe Ila maisha yanabadirika.Nazidi kumuomba Mungu sana tu
Ila sio mnajikuta tatizo mnaendekeza sana hisia zenu ziwaendeshee maisha na mnamuacha Mungu
Kwani unadhani wasiozini hawana hamu? Ila ni kule kumuogopa Mungu na kumfuata
Dah we acha tu shetani ana nguvu sanaa ila tujaribu kumshinda shetani
Hyo mrina unaijua vizuri anaruka anaelekea wap?Angetoka mlangoni, lazima mhudumu wa gesti angekwenda kumwamsha yule demu, ili ahakiki kama yuko salama (watu huwa wanaua wenzao "gesti" nakukimbia). Sasa hapo Mbinu ya askari kutoroka na Chips, Bia na simu ya demu si ingejulikana??? Ndio maana askari aliamua kutumia mbinu za "MEDANI" - kuruka ukuta na kuwakimbia wote - mhudumu wa "gesti", Mlinzi wa "gesti" na Malaya.
PoaZipo Lodge ukiwapatia sababu kwamba nitalipa badae wanakubali. Ila huwezi kutoka hadi ulipe
Kuna upishi wa stori nyuma ya kifo cha afande ila kwakuwa wafanya uchunguzi ni polisi wenzje ukweli utajulikana tu, tujipe muda na kutunza maneno.Hyo mrina unaijua vizuri anaruka anaelekea wap?
We umeenda kulala na Malaya alafu unatoka wewe kwanza muudumu aende kuhakiki chumba?
Kifupi Hilo eneo n maarufu kwa Biashara ya pombe na ngono hvyo wanawake wengi hununua vyumba kwasiku au wiki wengine Hadi mwez na hapo panakuwa Kama ndio ofisini kwao hvyo mteja huanza kutoka na kumuacha mwenyeji huo n utaratibu uliozoeleka kingine hata huyo Askari huenda wanamjua na kingine huenda huyo jamaa alikuwa Doria eneo Hilo na Kama n hvyo huwa anakuwa na wenzie.
Vyovyote unavyofikiri n sawa Ila ukijiongeza kidogo lazima utakuta Kuna kitu kulikuwa kinaenda isivyo kawaida either kwa huyo dada alielala na marehemu au marehemu mwenyewe.
Kingine jiulize kulikuwa na ulazima gani kusema Askari alichukua simu Mara katoka na chips Mara bia na karuka ukuta kwann wadingetumia lugha nyepesi na rahisi kuwa marehemu alikuwa amelewa chakari na alishindwa kujitambua mpaka mauti yanamkuta
N kweli ngoja tuone litaishajeKuna upishi wa stori nyuma ya kifo cha afande ila kwakuwa wafanya uchunguzi ni polisi wenzje ukweli utajulikana tu, tujipe muda na kutunza maneno.