Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu peponi tena huku kaiba simu ya malaya, kazini na alikuwa anakimbia bili ya lodgeAlazwe pema peponi kamanda
Ndiyo abebe na simu ya dada wa watu?Huenda hakutaka macho mengi, labda ana mke akaona asijaze nzi
Bora ingekuwa fresh kiporo 🤣🤣🤣🤣🤣Hali ni ngumu Mkuu...Usione tu watu wamevaa wamependeza wanatembea.....Ukiona au kuambiwa mambo wanayoyafanya, hauwezi kuamini. Na utakuta ilikuwa ni Chips Kavu (ya Tshs 1,500) au Chips Mayai ya Tshs 3,000 tu - askari alikuwa ametoka nayo mbio. Mpaka ikamponza aangukie kitu chenye ncha kali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alafu mke unaletewa chips unaambiwa jana sijala hizi hebu ziweke mayai wife.
Itakua,alimwambia tu do kwanza tutakula badae hahaaa...aibu hii jamani kaiba na simuAskari mzima hovyo. Anatoroka hadi na Kiepe
Hyo maiti yake ichapwe viboko kwanza kwa kuzalilisha Jeshi la polisiKwenye mazishi yake kutakuwana gwaride na mizinga itapigwa
Allah atuongoze wallah ni mtihani mno, nawaza hata aibu ya wazazi wa marehemuTuombe mwisho mwema, hivi unapata mapokezi gani kwa kifo kibaya namna hii?.
Hakuna utata wowote!, Ni pombe zake tu ndio zilikuwa zimemtuma kutoroka kwa kuruka ukuta!Najiuliza wamejuaje kwamba alikuwa anamtoroka mwanamke!??
Je huyu marehemu alimwambia mtu kuwa nipo na demu nakula show, ila nikimalizana nae nitamtoroka!??
Pia kwa maaskari wetu walivyo wababe sidhani kama angehitajika kuruka geti, pale ilikuwa anakwenda kumface mlinzi na kumuamuru amfungulie hata ikibidi angejitambulisha,, mlinzi asingegoma asilani
Kuna utata ktk hili
Kwahiyo ni Askari pita huku 😃Mkuu peponi tena huku kaiba simu ya malaya, kazini na alikuwa anakimbia bili ya lodge
Tuombe mwisho mwema, hivi unapata mapokezi gani kwa kifo kibaya namna hii?.