Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Hapo ndio unaelewa juu ya tabia za wizi za polisi wengi. Miaka 40 unaiba mpaka chips!?. Utasikia kielelezo kimepotea kumbe polisi kaiba. ***** aende motoni shwaini mkubwa huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni hatari mkuu.Duuh. Pale Mrina sio pa kulala maana kuna kina dada wanamiliki vyumba kabisa wanafanya bizness 24/7.
Na kiepe je?Labda alikuwa kazini, hata hyo simu aloiba alikuwa anakazi nayo...
Labda lakini.
Binafsi nimeshangazwa hivi ndivyo alistahili kufanya amekufa kizembe sana..Sasa si angepita getini?
Unamuambia tu mlinzi, mimi askari. Unatoa kitambulisho na Radio call, over.
Umepata taarifa ya tukio fulani kutokea. Unatokomea unakojua wewe.
Screenshot Mkuu, polisi wana hali mbaya sana aise,Comment kama hizi nawezaje kuzisevu kwenye galary ili niwe naziona kiurahisi na kuangua vicheko napokuwa nimebanwa na stress zangu?
Kwani uko kilo ya unga shilingi ngap?Vyakula gani tena vimepanda bei??
Nyie watu wa dar mbona mnalalamika sana[emoji2440]
Hali ni ngumu Mkuu...Usione tu watu wamevaa wamependeza wanatembea.....Ukiona au kuambiwa mambo wanayoyafanya, hauwezi kuamini. Na utakuta ilikuwa ni Chips Kavu (ya Tshs 1,500) au Chips Mayai ya Tshs 3,000 tu - askari alikuwa ametoka nayo mbio. Mpaka ikamponza aangukie kitu chenye ncha kali.Dah askari kaiba hadi chipsi 😂😂😂😂😂😂
Katika hali ya kustaajabisha tumezoea kuwa malaya ndio wezi wakubwa ila leo hii Askari anamuibia malaya dah 🤣🤣🤣Unaweza kucheka kama mazuri vile,askari mjinga huyu anaibia hadi malaya
Kwenye mazishi yake kutakuwana gwaride na mizinga itapigwaKatika hali ya kustaajabisha tumezoea kuwa malaya ndio wezi wakubwa ila leo hii Askari anamuibia malaya dah 🤣🤣🤣
Huyo kafumaniwa katika kujiokoa ndo likatokea la kutokea ila sio hii story wanayosema hapa.Najiuliza wamejuaje kwamba alikuwa anamtoroka mwanamke!??
Je huyu marehemu alimwambia mtu kuwa nipo na demu nakula show, ila nikimalizana nae nitamtoroka!??
Pia kwa maaskari wetu walivyo wababe sidhani kama angehitajika kuruka geti, pale ilikuwa anakwenda kumface mlinzi na kumuamuru amfungulie hata ikibidi angejitambulisha,, mlinzi asingegoma asilani
Kuna utata ktk hili
Aisee kwetu uuze unga atanunua nani??Kwani uko kilo ya unga shilingi ngap?