BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Ni tukio la aibu kubwa mnoo,,,kuiba simu ya mwanamke????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment kama hizi nawezaje kuzisevu kwenye galary ili niwe naziona kiurahisi na kuangua vicheko napokuwa nimebanwa na stress zangu?Kaiba simu ya mwanamke, manjagu wenzie waitwa saa tisa usiku ila wakafika baadaye sana na mwisho alikuwa anatoroka na chips🤣
Taarifa hii inaoneka KAMA imeongezwa chumvi.Askari Polisi jijini Arusha mwenye namba Pf 18530, Stewart Saiba(40) amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa.
Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya saa sita usiku akiwa na mwanamke mmoja ambaye jina lake hakufahamka mara moja .
Aliieleza kuwa marehemu aliandikisha katika kitabu cha wageni na kupewa chumba namba tano na kisha kuingia katika chumba hicho akiwa na mwanamke huyo, kibegi kidogo cha mgongoni na radio ya mawasiliano aliyokuwa ameshika mkononi.
Alisema majira ya saa 9 usiku askari huyo alitoka ndani ya chumba hicho na kumwacha mwanamke huyo akiwa amelala fofofo. Aliendelea kudai kuwa marehemu alikwenda nyuma ya nyumba hiyo na kuruka geti la nyumba hiyo akiwa na lengo la kumtoroka mwanamke huyo, ndipo alipoangukia kichwa na kuchomwa na kitu chenye ncha kali kichwani.
Taarifa zinadai kwamba baada ya mlinzi kusikia kishindo alienda katika geti hilo na kumkuta askari huyo akiwa ameanguka chini akivuja damu nyingi kwenye paji la uso na kutoa taarifa polisi ambapo majira ya alfajiri polisi wenzake walifika na kukuta amepotez maisha.
Hata hivyo baada ya askari polisi kufika walipekua begi la marehemu na kukuta chupa ya bia moja,chips ,radio ya mawasiliano simu mbili ikiwemo ya huyo mwanamke pamoja na vitu vingine.
Jitihada za kumtafuta kamanda wa polisi mkoani hapa ,Justin Masejo ili kuzungumzia tukio hilo ziligonga mwamba mara baada ya simu yake ya mkononi kuita kwa muda mrefu bila kutopokelewa.
Mwili wa marehemu Stewart unatarajiwa kusafirishwa kwenda kwao Bukoba kwa ajili ya maziko, baada ya kufanyiwa uchunguzi.
Mwenyezi mungu alilaze mahala pema peponi roho ya marehemu Stewart, Amen!
Tuombe mwisho mwema, hivi unapata mapokezi gani kwa kifo kibaya namna hii?.
Marehemu Stewart atakuwa wa Katerero huyu. Ukahaba mwingine hatari sana!Askari Polisi jijini Arusha mwenye namba Pf 18530, Stewart Saiba(40) amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa.
Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya saa sita usiku akiwa na mwanamke mmoja ambaye jina lake hakufahamka mara moja .
Aliieleza kuwa marehemu aliandikisha katika kitabu cha wageni na kupewa chumba namba tano na kisha kuingia katika chumba hicho akiwa na mwanamke huyo, kibegi kidogo cha mgongoni na radio ya mawasiliano aliyokuwa ameshika mkononi.
Alisema majira ya saa 9 usiku askari huyo alitoka ndani ya chumba hicho na kumwacha mwanamke huyo akiwa amelala fofofo. Aliendelea kudai kuwa marehemu alikwenda nyuma ya nyumba hiyo na kuruka geti la nyumba hiyo akiwa na lengo la kumtoroka mwanamke huyo, ndipo alipoangukia kichwa na kuchomwa na kitu chenye ncha kali kichwani.
Taarifa zinadai kwamba baada ya mlinzi kusikia kishindo alienda katika geti hilo na kumkuta askari huyo akiwa ameanguka chini akivuja damu nyingi kwenye paji la uso na kutoa taarifa polisi ambapo majira ya alfajiri polisi wenzake walifika na kukuta amepotez maisha.
Hata hivyo baada ya askari polisi kufika walipekua begi la marehemu na kukuta chupa ya bia moja,chips ,radio ya mawasiliano simu mbili ikiwemo ya huyo mwanamke pamoja na vitu vingine.
Jitihada za kumtafuta kamanda wa polisi mkoani hapa ,Justin Masejo ili kuzungumzia tukio hilo ziligonga mwamba mara baada ya simu yake ya mkononi kuita kwa muda mrefu bila kutopokelewa.
Mwili wa marehemu Stewart unatarajiwa kusafirishwa kwenda kwao Bukoba kwa ajili ya maziko, baada ya kufanyiwa uchunguzi.
Mwenyezi mungu alilaze mahala pema peponi roho ya marehemu Stewart, Amen!
Sometime tamaa zinatugharimu maisha yote.Nipo nawaza hapa ... dah
Zidi kumuomba Mungu mkuu.Mimi naendelea na msemo wangu wa siku zote hpa JF
#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#
Wazinzi waendelee kufa tu maana hawana faida kwenye jamii
Bora wewe umeamua kutumia akili kidogo, na bado hii taarifa ni ya upande mmoja.Najiuliza wamejuaje kwamba alikuwa anamtoroka mwanamke!??
Je huyu marehemu alimwambia mtu kuwa nipo na demu nakula show, ila nikimalizana nae nitamtoroka!??
Pia kwa maaskari wetu walivyo wababe sidhani kama angehitajika kuruka geti, pale ilikuwa anakwenda kumface mlinzi na kumuamuru amfungulie hata ikibidi angejitambulisha,, mlinzi asingegoma asilani
Kuna utata ktk hili
Kakimbia bill, kaiba simu ya demu na chips yai. Maisha haya.Askari Polisi jijini Arusha mwenye namba Pf 18530, Stewart Saiba(40) amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa.
Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya saa sita usiku akiwa na mwanamke mmoja ambaye jina lake hakufahamka mara moja .
Aliieleza kuwa marehemu aliandikisha katika kitabu cha wageni na kupewa chumba namba tano na kisha kuingia katika chumba hicho akiwa na mwanamke huyo, kibegi kidogo cha mgongoni na radio ya mawasiliano aliyokuwa ameshika mkononi.
Alisema majira ya saa 9 usiku askari huyo alitoka ndani ya chumba hicho na kumwacha mwanamke huyo akiwa amelala fofofo. Aliendelea kudai kuwa marehemu alikwenda nyuma ya nyumba hiyo na kuruka geti la nyumba hiyo akiwa na lengo la kumtoroka mwanamke huyo, ndipo alipoangukia kichwa na kuchomwa na kitu chenye ncha kali kichwani.
Taarifa zinadai kwamba baada ya mlinzi kusikia kishindo alienda katika geti hilo na kumkuta askari huyo akiwa ameanguka chini akivuja damu nyingi kwenye paji la uso na kutoa taarifa polisi ambapo majira ya alfajiri polisi wenzake walifika na kukuta amepotez maisha.
Hata hivyo baada ya askari polisi kufika walipekua begi la marehemu na kukuta chupa ya bia moja,chips ,radio ya mawasiliano simu mbili ikiwemo ya huyo mwanamke pamoja na vitu vingine.
Jitihada za kumtafuta kamanda wa polisi mkoani hapa ,Justin Masejo ili kuzungumzia tukio hilo ziligonga mwamba mara baada ya simu yake ya mkononi kuita kwa muda mrefu bila kutopokelewa.
Mwili wa marehemu Stewart unatarajiwa kusafirishwa kwenda kwao Bukoba kwa ajili ya maziko, baada ya kufanyiwa uchunguzi.
Mwenyezi mungu alilaze mahala pema peponi roho ya marehemu Stewart, Amen!
Eti chipsi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaiba simu ya mwanamke, manjagu wenzie waitwa saa tisa usiku ila wakafika baadaye sana na mwisho alikuwa anatoroka na chips[emoji1787]
Na kiporo cha chipsi kusema 🤣🤣🤣🤣🤣Labda askari alikuwa kwenye njia za kikachero za kukusanya taarifa. Tusimlaumu. Wapelelezi wanafanya mambo mengi kukamilisha upelelezi wao. Mimi binafsi silaumu kitu hapo. Kwasababu siijui full story
Vyakula gani tena vimepanda bei??Ndo wajue sasa sirikali vyakula ni bei ona poti alkua anashika uelekeo wake na kiepe kavu
Nazidi kumuomba Mungu sana tuZidi kumuomba Mungu mkuu.
Hatupendi kuwa wazinzi Ila tunajikuta tu tunazini.