Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Hii habari bado tu haija futwa? Mkuu alishatoa order,ifutwe,, ila hao ndiyo aina ya polisi tulionao,kwenye daladala hawataki kulipa,kwenye baa wanakuwa kero,mbususu wanatapeli,nna uhakika hata hizo chips alikwapua pahala,aende huko!