Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

Hapo ndio unaelewa juu ya tabia za wizi za polisi wengi. Miaka 40 unaiba mpaka chips!?. Utasikia kielelezo kimepotea kumbe polisi kaiba. ***** aende motoni shwaini mkubwa huyo.
 
Vifo Kama hivi ni hatari huyu anaenda motoni moja kwa moja yeye pamoja na wazinzi wote Duniani.
 
Sasa si angepita getini?

Unamuambia tu mlinzi, mimi askari. Unatoa kitambulisho na Radio call, over.

Umepata taarifa ya tukio fulani kutokea. Unatokomea unakojua wewe.
Binafsi nimeshangazwa hivi ndivyo alistahili kufanya amekufa kizembe sana..
 
Dah askari kaiba hadi chipsi 😂😂😂😂😂😂
Hali ni ngumu Mkuu...Usione tu watu wamevaa wamependeza wanatembea.....Ukiona au kuambiwa mambo wanayoyafanya, hauwezi kuamini. Na utakuta ilikuwa ni Chips Kavu (ya Tshs 1,500) au Chips Mayai ya Tshs 3,000 tu - askari alikuwa ametoka nayo mbio. Mpaka ikamponza aangukie kitu chenye ncha kali.
 
Najiuliza wamejuaje kwamba alikuwa anamtoroka mwanamke!??

Je huyu marehemu alimwambia mtu kuwa nipo na demu nakula show, ila nikimalizana nae nitamtoroka!??

Pia kwa maaskari wetu walivyo wababe sidhani kama angehitajika kuruka geti, pale ilikuwa anakwenda kumface mlinzi na kumuamuru amfungulie hata ikibidi angejitambulisha,, mlinzi asingegoma asilani

Kuna utata ktk hili
Huyo kafumaniwa katika kujiokoa ndo likatokea la kutokea ila sio hii story wanayosema hapa.

Kuna dalili za Framework, hai make sense askari mtu mzima kufanya aliyoyafanya. Wazee wa CUBA tumeshajiongeza
 
Kifo cha aibu na ajabu ajabu sana hiki
 
Najiuliza kwenye risala ya mazishi watataja sababu ipi ya kifo cha afande?
 
Back
Top Bottom