Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asa kwann nisicheke hicho kiepe alikuwa anapeleka wapi sasa ..

Afande kala mzigo, akaiba kiepe akatia kwenye begi, akaiba na simu akaondoka sasa afande alitaka nini hasa?
 
Sasa Mkuu, kama una story tofauti na ilivyoripotiwa, si tuambie tu.....usiwe just defensive...Mpaka sasa tunachojua na kilichoripotiwa ni kuwa Marehemu ni mtu wa Bukoba , alitaka kusepa na simu ya demu, aliondoka na Chips (sijui kavu au na Mayai), alikuwa na bia, pia na radio call na kibegi, na aliruka ukuta. Sasa njoo na data tofauti na hapo, au na story tofauti na hiyo. Kusema tunaijua Mrina au hatuijui...kwa sasa haisaidii kitu....
 
Alafu watu wengi hawajui hawa dada poa wanambinu gani.

Siku moja nilikua kwa mtaalamu mmoja kwa maswala yangu binafsi pale kwa mtaalamu walikuja wadada wazuri watatu wakaniomba niingie nao kama namba moja.
nikakubali kwakua sikutaka wajue swala langu wao wakatangulia kuhudumiwa, alooo mambo waliokua wakisema na kunuia dah kama ni mtu unamchukua bora umlipe tu maana kuna mmoja alinuia dawa na kila akiingia kazini anaipaka kwenye uke alisema anataka kila atakaye muingilia kama akimzulumu basi mbegu zake ziwe sadaka ya mganga, sijui unanielewa? mm mwenyewe nilistuka kidogo walipotoka kabla sijaanza huduma yangu yule mzee akaniambia kijana hawa wadada ni moto wa kuotea mbali na ukiangalia ni kweli maana hata kibunda wanachoacha pale sio cha kitoto.

nimeandika hapa ili atakaesoma aache ujanja ujanja kwa hawa dada poa kuna baahi yao wamejipanga kivita ww ukifanya utani au kukomoa mwenzio anamaliza kweli
 
Kuna upishi wa stori nyuma ya kifo cha afande ila kwakuwa wafanya uchunguzi ni polisi wenzje ukweli utajulikana tu, tujipe muda na kutunza maneno.
Kwa hiyo hakula Mzigo? Hakuiba simu? Hakuondoka na Chips ? Hakuruka Ukuta? Hakwenda na yule demu pale Guest??? Usitoe statement nyepesi nyepesi hivyo...
 
Daaah kamwibia na simu na ushuru asimlipe. Kuna watu huwa hawaibiwi ndiyo kama huyu mwanamke. Aibu sana kwa Jeshi la polisi.
 
Aliingia na uniform? Kaa ukijua si mhudumu wala huyo muuza k aliyejua marehemu ana kazi gani na wa wapi? Wamejua baada ya kupekua begi na kukuta documents za upolisi! Asa kwani yasingemkuta hayo hakuna ambaye angejua.
Mkuu ushawai kupanga chumba gest? Mimi ndie niliepanga gest nimeipata dhalula naondoka nini tatizo? Na ndio maana nimekwambia kama hizi gest zetu zingekuwa na usumbufu huo unaousema hawa Malaya wasingeweza kumuibia mtu yoyote
Malaya anaondoka usiku na ajapanga chumba sembuse mimi mwenye chumba nataka kuondoka nani wakunizuia?
 

Si aliingia nae mapokezi wakamuona

Pengine alishindwa kutokea njia sahihi alikua hajaclear bills
 
Kwanza guest mtu unaingia na kutoka anytime na no one to question you.Sasa ilikuwaje akaamua kuruka? Au ndo siku ilikuwa imefika?

Aisee tuoe kuepuka zinaa na vifo kama hivi daah

Mkuu inawezekana jamaa kaacha mke nyumbani
Hapo alikua Lindo
 
Miaka 40 katika dhambi mbaya ya Uzinzi

Huyo motoni moja kwa moja
 
Aibu. Mskin kama ameoa atakuwa ameitia familia yake aibu na hasara bila sababu ya msingi.
 
Aiseeeee, Mungu atusaidie tuwe na mwisho mwema. Aibu kubwa kwa kweli. Unaweza kuta jamaa ana mke na watoto.
 
Ukiona ujalipia umelala umelala mpaka usiku wa manane na jina umeandikisha basi wewe ni mwenyeji akuna tatizo hapo watupe sababu nyingine sio hiyo
Yah kuna shida mara nying ukiandika jina lazma ulipe kwanza ndio ukalale....

Kama ni mteja wa mara kwa mara ndio ile unalala tu unalipa ukitoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…