Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

Vifo vingine aibu,unadhulumu malaya,unamuibia simu,chips na bado unakufa ukiwa na janaba yaani unaenda kuzimu ukiwa na ushahidi wa kukupeleka motoni bila kupepesa macho.
 
Huyo kafumaniwa katika kujiokoa ndo likatokea la kutokea ila sio hii story wanayosema hapa.

Kuna dalili za Framework, hai make sense askari mtu mzima kufanya aliyoyafanya. Wazee wa CUBA tumeshajiongeza

Naweza kukubaliana na ww kwa muktadha wa mazingira ya hiko kifo
 
Alionekana anaingia na mwanamke ila wakati wa kutoka anatoka mwenyewe kwa kuruka ukuta ,huko nikutoroka, tena na simu ya malayer

Hakuna sheria ya guest house inayomzuia mteja asiondoke mwenyewe hata kama aliingia na mwenza

Pia huyu ni Poti, walivyo watemi watemi angepita pale getini bila kubughudhiwa na yeyote
 
Hakuna sheria ya guest house inayomzuia mteja asiondoke mwenyewe hata kama aliingia na mwenza

Pia huyu ni Poti, walivyo watemi watemi angepita pale getini bila kubughudhiwa na yeyote
Ndio aruke geti
 
Yaani mafunzo yote ya medani anakimbia mwanamke? Angetumia zile mbinu wanazitumia kuwadunda Chadema na vibaka.

Yaani huyu alikula ugali wa chuo Cha polisi bure
Hapa suala sio kumkimbia mwanamke, huyu ni mwizi.
 
Unampangia mungu sehemu ya kumuweka mtu aliyekufa kifo cha namna hiyo huyu makazi yake ni motoni tu
 
Yaani mafunzo yote ya medani anakimbia mwanamke? Angetumia zile mbinu wanazitumia kuwadunda Chadema na vibaka.

Yaani huyu alikula ugali wa chuo Cha polisi bure
[emoji3581][emoji12]
 
One Soldier Down
Sema wanaume tunapitia mengi Sana R.I.P
 
Wahaya wanapenda sifa sana. Hongera mtani saizi unaitwa professor marehemu.
 

kuna kaharufu ka samaki hapa,acha masaa yasogee tutajua[emoji23]
 

RPC amekuwa na kiherehere sana kutokea mbele ya camera,kuna vitu haviko sawa hapa.
 

hivi ndivyo ccm wanapenda raia wawe wanafikiri.

yaani askari polisi aparamie ukuta na geti lipo.
aibe chipsi kavu na simu,ukute ni kiswaswadu.

watu wana maisha magumu lakini sio kiasi hiki.
wacha uchunguzi ukamilike tutajua.
 
....walipekua begi la marehemu na kukuta chupa ya bia moja,chips ,radio ya mawasiliano simu mbili ikiwemo ya huyo mwanamke pamoja na vitu vingine...
Simu mbili Pamoja ..... ya huyo mwanamke...
===
Maswali mengi yanajizalisha hapa
 
Nahisi huyu jamaa aliiba demu au mke wa mtu na katika fumanizi akataka kutoroka bila tahadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…