Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza Dar es salaam ambaye baaade alipoteza maisha.
Jeshi la Polisi tayari limewakamata askari hao na mambo ya kisheria yanakamilishwa na watachukuliwa hatua za kisheria haraka Kadri iwezekanavyo kwa kufuata mifumo ya kisheria kiwa ni pamoja na kuwafikisha mahakamani
Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospital ya Rufaa Mwananyamala kukamilisha uchunguzi.
Your browser is not able to display this video.
Video hizi zifuatazo chini zinaonesha namna hali ilivyokuwa kabla ya tukio la Askari kufyatua risasi
Nina mshkaji ni njagu tena ana nyota moja aisee anahangaika kusaka kazi aachane na unjagu yani anajilaumu balaa in fact akimaliza law school akipata mhuri anasepa maana huko ni stress sana na maslahi sio rafiki.
Sijui dunia inaenda wapi? Hao Sheria ifate mkondo wake mapema maana hakuna aliye na haki ya kumunyang'anya mwenzake haki ya kuishi.Kwa nini wanatembea na siraha Hadi bar? Naisi binadamu tuna shida Sana kwa sasa Mungu tu aingilie Kati ili ulimwengu uwe sehemu salama pa kuishi

Silaha ya kwanza,imara na yenye uhai ni kutumia akili zaidi kuliko nguvu.Unaitwaje askari wakati hauwezi kumu-outsmart asiye askari?Kuua wameonesha udhaifu sana unaohitajika kuzawadiwa capital punishment.
Ila tukumbushane tu..askari anapokuwa na silaha usijibizane nae hadi kufika kitendo cha kumgusa au kugusa silaha inaweza kutafsiriwa Kwake unataka kumpora silaha.....
Ni kweli na yeye aliingia akiwa na elimu ya form six akajiongeza akapiga degree ya Law kwa kujisomesha sasa hivi anapiga law school ila anahangaika sana aache kazi mapema. Hao wengine wengi wao ni sababu anakuwa hana option vyeti vyenyewe unakuta vya mchongo anaona bora atulie tu.
Ila tukumbushane tu..askari anapokuwa na silaha usijibizane nae hadi kufika kitendo cha kumgusa au kugusa silaha inaweza kutafsiriwa Kwake unataka kumpora silaha.....
Sijui dunia inaenda wapi? Hao Sheria ifate mkondo wake mapema maana hakuna aliye na haki ya kumunyang'anya mwenzake haki ya kuishi.Kwa nini wanatembea na siraha Hadi bar? Naisi binadamu tuna shida Sana kwa sasa Mungu tu aingilie Kati ili ulimwengu uwe sehemu salama pa kuishi
Ndugu mbona unataka kumtwisha Mungu mzigo ambao hahusiki? Yaani aingilie polisi kuingia bar na bunduki? Hili ni kosa la ki-mfumo na kama nchi tumeshapoteza mwelekeo. Hakuna tena rule of law, watawala wako busy kulaghai raia na raia wamelala fofofo wanaomba eti Mungu aingilie kati.
Ndugu mbona unataka kumtwisha Mungu mzigo ambao hausiki? Yaani aingilie polisi kuingia bar na bunduki? Hili ni kosa la ki-mfumo na kama nchi tumeshapoteza mwelekeo. Hakuna tena rule of law, watawala wako busy kulaghai raia na raia wamelala fofofo wanaomba eti Mungu aingilie kati.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza Dar es salaam ambaye baaade alipoteza maisha.
Jeshi la Polisi tayari limewakamata askari hao na mambo ya kisheria yanakamilishwa na watachukuliwa hatua za kisheria haraka Kadri iwezekanavyo kwa kufuata mifumo ya kisheria kiwa ni pamoja na kuwafikisha mahakamani
Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospital ya Rufaa Mwananyamala kukamilisha uchunguzi. View attachment 2828811
Nina mashaka makubwa sana kuhusiana na 'Afya ya Akili' ya Askari Polisi karibu wote wa Tz.
Inajulikana wazi kabisa kwamba "silaha ni kifo," Je, ilikuwaje mpaka Askari Polisi aliyepewa Mafunzo ya kutumia silaha afyatue risasi hovyo na kwa uholera hadi kusababisha kifo cha mtu???????
Nini hasa kilitokea mpaka huyo Askari akalazimika kufyatua risasi na kumuua mtu??? Taarifa hii ya Jeshi la Polisi iko shallow sana, huenda pengine kutokana na uzembe mkubwa uliofanywa na Askari wao, kuweka wazi kila kitu wanaona kama "kulivua nguo" Jeshi lao.