Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Usiwe na ushkaji na polizei!Nina mshkaji ni njagu tena ana nyota moja aisee anahangaika kusaka kazi aachane na unjagu yani anajilaumu balaa in fact akimaliza law school akipata mhuri anasepa maana huko ni stress sana na maslahi sio rafiki.
Ipo siku utanishukuru